Atualize para o Pro

.šš‘š„š’š’

Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi. Ally Kamwe

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
.šš‘š„š’š’šŸ’¬ Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi. Ally Kamwe #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Like
Love
Sad
5
3 ComentĆ”rios Ā·671 VisualizaƧƵes