Atualize para o Pro


JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA.

Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake.

Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa .

#paulswai
·49 Visualizações