“Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa. Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu.
“Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri. Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia.
“Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’ Nabi, Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.

·335 Views