.PANGA ZAIDI LINAKUJA YANGA SC.
.
Kama Ulidhani Panga la Yanga limeishia kwa Gamondi basi Umekosea kwani Mabosi wa Klabu hiyo wamepanga kuanza upya kwa kuwaondoa baadhi ya wafanyakazi Katika vitengo vingine huku wengine waliowahi Kuondolewa wakirudishwa.
.
Mchakato huo tayari umepata baraka ya Kamati tendaji Katika kikao kilichoketi November 7 mwaka huu Dar es Salaam kwa watendaji hao kutoongezewa mikataba yao.
.
Mabadiliko hayo yataanzia idara ya fedha ambapo mtu mmoja atachomolewa. Idara ya Sheria nayo itakumbana na mabadiliko hayo kwa bosi mmoja naye kuondolewa.
.
Kitengo cha mauzo ya jezi nako kutapita fagio kubwa. Tayari kuna baadhi ya tuhuma zimewaweka nje watendaji watatu ambao wanasimamia mauzo ya jezi za klabu hiyo moja ya madai ikiwa kubainika kujihusisha na bidhaa feki.

.🚨PANGA ZAIDI LINAKUJA YANGA SC.

·304 Views