.... || 饾棬饾棟饾棬饾棤饾棔饾棙 饾棤饾棴饾棞饾棫饾棦 饾棡饾棯饾棙饾棫饾棬
"Mwanangu unakumbuka Baba alikuwa anakwambia nenda shule na ada haijalipwa? Unafukuzwa au unaminya kwenye dawati usionekane na Mwalimu?
Mwanangu unakumbuka Mama alikuwa anakutuma dukani ukakope mafuta anasema akipata atapeleka? Yani mia tano tu home haikuwepo.
Mwanangu licha ya yote Wazazi walipigana uwe ulipo leo, sasa vaa jezi ingia uwanjani, tukapindue matokeo, wawe hai au wamekufa wajivunie wewe Mwanangu, tupo nyuma ya muda."

馃.... || 饾棬饾棟饾棬饾棤饾棔饾棙 饾棤饾棴饾棞饾棫饾棦 饾棡饾棯饾棙饾棫饾棬猡碉笍