Mise Ă  niveau vers Pro

.... || 𝗹𝗝𝗹𝗠𝗕𝗘 𝗠𝗭𝗜𝗧𝗱 𝗞đ—Ș𝗘𝗧𝗹

"Mwanangu unakumbuka Baba alikuwa anakwambia nenda shule na ada haijalipwa? Unafukuzwa au unaminya kwenye dawati usionekane na Mwalimu?

Mwanangu unakumbuka Mama alikuwa anakutuma dukani ukakope mafuta anasema akipata atapeleka? Yani mia tano tu home haikuwepo.

Mwanangu licha ya yote Wazazi walipigana uwe ulipo leo, sasa vaa jezi ingia uwanjani, tukapindue matokeo, wawe hai au wamekufa wajivunie wewe Mwanangu, tupo nyuma ya muda."
🧠.... || 𝗹𝗝𝗹𝗠𝗕𝗘 𝗠𝗭𝗜𝗧𝗱 𝗞đ—Șđ—˜đ—§đ—šâ€”ïž "Mwanangu unakumbuka Baba alikuwa anakwambia nenda shule na ada haijalipwa? Unafukuzwa au unaminya kwenye dawati usionekane na Mwalimu? Mwanangu unakumbuka Mama alikuwa anakutuma dukani ukakope mafuta anasema akipata atapeleka? Yani mia tano tu home haikuwepo. Mwanangu licha ya yote Wazazi walipigana uwe ulipo leo, sasa vaa jezi ingia uwanjani, tukapindue matokeo, wawe hai au wamekufa wajivunie wewe Mwanangu, tupo nyuma ya muda."
Like
Love
2
·31 Vue