Yamesemwa na Farhan JR (Mchambuzi).
"Kwenye jezi zao zote tatu za Yanga hii haina shida kabisa hii ya rangi ya dhahabu (Gold) ukirejea kwenye masuala ya rangi kwanza kuna rangi Mama tatu pekee zinaitwa Primary colours ambazo ni Njano, buluu na Nyekundu ambapo kwenye hizi rangi tatu ukichanganya ndio unapata rangi za pili (secondary colours) na bado kuna rangi zinaitwa Tertiary (somo la siku nyingine)
Kwahiyo hapa alichofanya Designer wa Yanga ni kuichukua jezi ya ugenini ya Yanga ambayo ni Njano, kupitia njano ndio kaenda kuzalisha rangi ya DHAHABU, ukirejea darasani Dhahabu inapatikana kwa kuchanganya NJANO kwa 87.5% na rangi nyingine moja ndio unazalisha jezi yao namba mbili ya ugenini.
Kwahiyo hapo hayupo nje kwakuwa GOLD ni sehemu ya njano kwa asilimia kubwa sana, Mimi shida yangu ni jezi yao ya nyumbani ule uzi wa KIJANI pale ndipo kuna shida ila sio hii ya pili na ya tatu."

·114 Views