饾悗饾悈饾悈饾悎饾悅饾悎饾悁饾悑 饾悕EWS

@fahadbayo22 raia wa Uganda amekamilisha usajili wa kujiunga na Yanga SC.
Fahad Bayo anasubiri dirisha dogo la usajili lifunguliwe ili aanze kuitumikia klabu ya @yangasc

Jean Baleke hatokuwa tena sehemu ya kikosi cha yangasc litakapofunguliwa dirisha dogo la usajili.

饾悗饾悈饾悈饾悎饾悅饾悎饾悁饾悑 饾悕EWS @fahadbayo22 raia wa Uganda amekamilisha usajili wa kujiunga na Yanga SC. Fahad Bayo anasubiri dirisha dogo la usajili lifunguliwe ili aanze kuitumikia klabu ya @yangasc Jean Baleke hatokuwa tena sehemu ya kikosi cha yangasc litakapofunguliwa dirisha dogo la usajili.
0 Commentarios 0 Acciones 447 Views