Uswahilini sijui usingizi unapata saa ngapi*
Ukisema ulale sa 5 usiku.. saa 6 unaamshwa na story za sungusungu dirishani.
Kausingizi kanakuja
Saa nane unaamshwa na kelele za mwizi huyoo
Saa kumi-kumi hivi alfajiri tena kausingizi kanakuja..ghafla Saa 12 unaamshwa na muuza bagia vitumbua..
Ukasema labda saa tanotano asubuhi ujipumzishe baada ya kupata chai, ghafla muuza mboga mchicha chinese spinachi majan ya kunde huyooo!!
Kwa hasira unaamka unasema utalala saa tisa alasiri..
Saa 9 tena ...Utasikia machumachuma tunanunua friji mbovu compressor mbovu tunanunua
.. Huyo kapita.
Ile usingizi unakujakuja jitu na spika lake " tunasajili laini za chuo bure kwa alama za vidole...
Kwa hasira unaenda zako kukaa nje upunge upepo, unashangaa madogo na jezi zao..kaka shkamoo kesho tuna mechi tunaomba mchango...

Uswahilini sijui usingizi unapata saa ngapi๐ค*
Ukisema ulale sa 5 usiku.. saa 6 unaamshwa na story za sungusungu dirishani.
Kausingizi kanakuja
Saa nane unaamshwa na kelele za mwizi huyoo
Saa kumi-kumi hivi alfajiri tena kausingizi kanakuja..ghafla Saa 12 unaamshwa na muuza bagia vitumbua..๐๐๐
Ukasema labda saa tanotano asubuhi ujipumzishe baada ya kupata chai, ghafla muuza mboga mchicha chinese spinachi majan ya kunde huyooo!!๐
Kwa hasira unaamka unasema utalala saa tisa alasiri..
Saa 9 tena ...Utasikia machumachuma tunanunua friji mbovu compressor mbovu tunanunua๐๐
.. Huyo kapita.
Ile usingizi unakujakuja jitu na spika lake " tunasajili laini za chuo bure kwa alama za vidole...
Kwa hasira unaenda zako kukaa nje upunge upepo, unashangaa madogo na jezi zao..kaka shkamoo kesho tuna mechi tunaomba mchango๐๐๐...
ยท250 Views