Upgrade to Pro

*Daah mapenzi yanauma nipo nafua mara tiriii demu wangu kanitext nikachoka baada ya kuniambia tumeachana kuanzia leo usinitafute nkasema huu ujinga nkachukua kamba nikafunga vizurii kabisa nkachukua sturi nikapanda juu yake nkachukua nguo nikaanika*
*siwez kufa kijinga hivyo unavyowaza*
*Daah mapenzi yanauma nipo nafua mara tiriii demu wangu kanitext nikachoka baada ya kuniambia tumeachana kuanzia leo usinitafute nkasema huu ujinga nkachukua kamba nikafunga vizurii kabisa nkachukua sturi nikapanda juu yake nkachukua nguo nikaanika* ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ *siwez kufa kijinga hivyo unavyowaza*
Haha
Wow
2
2 Comments ยท212 Views