Mpaka sasa Simba Sports wanaongoza kuchukua Tuzo za mchezaji bora wa mechi ligi Kuu NBC

Katika michezo 11, Wamebeba tuzo 8

Jean Ahoua (2)
Che Melone (2)
Shomari Kapombe
Debora Mavambo
Moussa Camara
Leonel Ateba

Hii ni dhahiri Simba wana wachezaji wengi wenye ubora mkubwa

#paulswai
Mpaka sasa Simba Sports wanaongoza kuchukua Tuzo za mchezaji bora wa mechi ligi Kuu NBC Katika michezo 11, Wamebeba tuzo 8馃檶 馃弲Jean Ahoua (2) 馃弲Che Melone (2) 馃弲Shomari Kapombe 馃弲Debora Mavambo 馃弲Moussa Camara 馃弲Leonel Ateba Hii ni dhahiri Simba wana wachezaji wengi wenye ubora mkubwa馃敟 #paulswai
Like
Love
8
3 Commentarios 0 Acciones 602 Views