Upgrade to Pro

.๐๐‘๐„๐’๐’

“Young Africans SC ni timu bora sana, lakini tunakwenda kucheza na timu bora pia hivyo tunahitajika tuwe makini sana. Tunapaswa kuwa na utayari kiakili na kisaikolojia kwani tunakwenda kwenye mechi ngumu sana. Hata hivyo ninayo furaha kubwa sana kuiongoza Klabu kubwa kwenye mashindano makubwa”

“Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa nikiwa na timu kubwa ya Young Africans SC. Falsafa yangu kubwa ni nidhamu na kujituma. Napenda kuona wachezaji wakicheza kama timu, haijalishi unatumia mfumo gani kama wachezaji wako hawana umoja ni ngumu kupata matokeo”

“Kwenye timu yangu sina mchezaji mashuhuri (Staa) kuliko mwingine. Wachezaji wote nawapa haki sawa kwa kuzingatia juhudi zao kwenye uwanja wa mazoezi. Ili tushinde lazima wachezaji wawe na umoja. Natambua ubora wa kila mchezaji lakini jambo la muhimu kwangu ni namna gani mchezaji anatumia uwezo wake kuipa timu matokeo”
Sead Ramovic
.๐๐‘๐„๐’๐’๐Ÿ’ฌ “Young Africans SC ni timu bora sana, lakini tunakwenda kucheza na timu bora pia hivyo tunahitajika tuwe makini sana. Tunapaswa kuwa na utayari kiakili na kisaikolojia kwani tunakwenda kwenye mechi ngumu sana. Hata hivyo ninayo furaha kubwa sana kuiongoza Klabu kubwa kwenye mashindano makubwa” “Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa nikiwa na timu kubwa ya Young Africans SC. Falsafa yangu kubwa ni nidhamu na kujituma. Napenda kuona wachezaji wakicheza kama timu, haijalishi unatumia mfumo gani kama wachezaji wako hawana umoja ni ngumu kupata matokeo” “Kwenye timu yangu sina mchezaji mashuhuri (Staa) kuliko mwingine. Wachezaji wote nawapa haki sawa kwa kuzingatia juhudi zao kwenye uwanja wa mazoezi. Ili tushinde lazima wachezaji wawe na umoja. Natambua ubora wa kila mchezaji lakini jambo la muhimu kwangu ni namna gani mchezaji anatumia uwezo wake kuipa timu matokeo” Sead Ramovic
Like
Love
2
ยท337 Views