"Mashabiki ni sehemu ya timu yangu na mara zote nimekuwa rafiki yao, bahati kwangu nimekuja kwenye Klabu yenye mashabiki bora Afrika, naamini kesho watakuja kwa wingi uwanjani kunikaribisha na kuisapoti timu ili tupate matokeo mazuri.
Mashabiki wananiita German Machine, lakini mimi ukiniuliza ningependa kuitwa Tanzanian Machine, nataka kufurahi pamoja na watu wa hapa na kuhakikisha klabu hii inapata mafanikio" Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.

·29 Views