Atualizar para Plus

Klabu ya Singida Black Stars imefikia uamuzi wa kumfuta kazi kocha Mkuu wao Patrick Aussems "Uchebe" pamoja na Denis Kitambi kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo katika michezo tatu mfululizo licha ya jitihada zote kufanyika kutoka kwa uongozi wa klabu kuwapatia Benchi la Ufundi

Taarifa ya leo Novemba 25, 2024 iliyotolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu, Singida Black Stars imebainisha kwamba kwa kipindi chote ambacho Aussems na Kitambi hawatakuwa kazini, klabu itakuwa chini ya Mkurugenzi wa Ufundi, Ramadhani Nsanzurwimo kama Kocha Mkuu na Muhibu Kanu kama Kocha Msaidizi.
Klabu ya Singida Black Stars imefikia uamuzi wa kumfuta kazi kocha Mkuu wao Patrick Aussems "Uchebe" pamoja na Denis Kitambi kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo katika michezo tatu mfululizo licha ya jitihada zote kufanyika kutoka kwa uongozi wa klabu kuwapatia Benchi la Ufundi Taarifa ya leo Novemba 25, 2024 iliyotolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu, Singida Black Stars imebainisha kwamba kwa kipindi chote ambacho Aussems na Kitambi hawatakuwa kazini, klabu itakuwa chini ya Mkurugenzi wa Ufundi, Ramadhani Nsanzurwimo kama Kocha Mkuu na Muhibu Kanu kama Kocha Msaidizi.
Like
1
·104 Visualizações