Upgrade to Pro

Timu ya Singida Black Stars imemfuta kazi kocha wake mkuu Patrick Aussems pamoja na msaidizi wake Denis Kitambi.

Kocha Patrick Aussems na Denis Kitambi wamefutwa kazi kutokana na matokeo yasioridhisha katika michezo yao ya ligi kuu ya NBC.

#paulswai
Timu ya Singida Black Stars imemfuta kazi kocha wake mkuu Patrick Aussems pamoja na msaidizi wake Denis Kitambi. Kocha Patrick Aussems na Denis Kitambi wamefutwa kazi kutokana na matokeo yasioridhisha katika michezo yao ya ligi kuu ya NBC. #paulswai
Like
Love
Wow
8
1 Yorumlar ·251 Views