Upgrade to Pro

Mchezo wa Singida Black Stars ambao ulipangwa kuchezwa Desemba 01, 2024 umeondolewa kwenye ratiba na sasa utapangiwa tarehe nyingine.

Simba Sports Club inatarajia kusafiri kuelekea Algeria kucheza dhidi ya CS Constantine Desemba 04.

#paulswai
Mchezo wa Singida Black Stars ambao ulipangwa kuchezwa Desemba 01, 2024 umeondolewa kwenye ratiba na sasa utapangiwa tarehe nyingine. Simba Sports Club inatarajia kusafiri kuelekea Algeria kucheza dhidi ya CS Constantine Desemba 04. #paulswai
Love
Like
8
1 Comments ·320 Views