Upgrade to Pro

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema
:
Hamas sasa iko peke yake na tutaiangamiza na kuwarudisha wafungwa.

Tunabadilisha Mashariki ya Kati

Sababu nyingine ya kusitisha mapigano ni kutenganisha pande na kuwaondoa Hamas kabisa kwenye picha.

Sababu za kusitishwa kwa mapigano ni kuangazia tishio la Iran, kulifufua jeshi, kuwatenga Hamas na kutenganisha medani za kijeshi (Gaza na Lebanon).
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema : ➡️Hamas sasa iko peke yake na tutaiangamiza na kuwarudisha wafungwa. ➡️Tunabadilisha Mashariki ya Kati ➡️Sababu nyingine ya kusitisha mapigano ni kutenganisha pande na kuwaondoa Hamas kabisa kwenye picha. ➡️Sababu za kusitishwa kwa mapigano ni kuangazia tishio la Iran, kulifufua jeshi, kuwatenga Hamas na kutenganisha medani za kijeshi (Gaza na Lebanon).
Like
1
·109 Views