Upgrade to Pro

Iran yailaumu Israel kwa ukosefu wa utulivu wa kikanda

Mwanadiplomasia mkuu wa Iran ameitaja Israel kuwa chanzo kikuu cha ukosefu wa utulivu na mivutano katika eneo hilo akitaja jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza na Lebanon.
Iran yailaumu Israel kwa ukosefu wa utulivu wa kikanda Mwanadiplomasia mkuu wa Iran ameitaja Israel kuwa chanzo kikuu cha ukosefu wa utulivu na mivutano katika eneo hilo akitaja jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza na Lebanon.
Like
1
·111 Views