Upgrade to Pro

"Tulifanya research yetu jinsi ya kuishinda , tulijua wamekuwa na matatizo ya kufunga magoli chakufanya ni kuwa muundo mzuri wa ulinzi , baada ya hapo ni kutumia nafasi zile ambazo wanaacha pembeni , Yanga huwa wapo wazi sana pembeni".

- Florent Ibengé, Kocha wa Al Hilal via Mpenja TV.

#sokaupdates
"Tulifanya research yetu jinsi ya kuishinda , tulijua wamekuwa na matatizo ya kufunga magoli chakufanya ni kuwa muundo mzuri wa ulinzi , baada ya hapo ni kutumia nafasi zile ambazo wanaacha pembeni , Yanga huwa wapo wazi sana pembeni". - Florent Ibengé, Kocha wa Al Hilal via Mpenja TV. #sokaupdates
Like
1
·111 Views