Upgrade to Pro

ⒿⒶⓂⒶⒶ ⒶⓁⒾⓂⓅⒺⓃⒹⒶ ⒷⒾⓃⓉⒾ ⓌⒶ ⓀⒾⓁⓄⓀⓄⓁⒺ ⒿⒾⓃⓈⒾ ⓎⒶ ⓀⓊⓂⓌⒾⓃⒼⒾⒶ ⒾⓀⒶⓌⒶ ⓃⒼⓊⓂⓊ ⒶⓀⒶⒶⓂⓊⒶ ⒶⓈⓄⓂⒺ ⓋⒾⒻⓊⓃⒼⓊ ⓋⒾⓃⒼⒾ ⓋⓎⒶ ⒷⒾⒷⓁⒾⒶ ⒾⓁⒾ ⒶⓂⓀⒶⓂⒶⓉⒺ ⓀⒾⓇⒶⒽⒾⓈⒾ ⓂⒶⓏⓊⓃⒼⓊⓂⓏⓄ ⓎⒶⓄ ⓎⒶⓁⒾⓀⓊⓌⒶ ⒽⒾⓋⒾ
Mwanaume: sister mambo
Sister: mambo kwa yesu
Mwanume: Sister samahani . . . unampenzi?
Sister: hapana sihitaji mpenzi!
Mwanaume: mwanzo 2:18 mungu akasema sio
vema mwanaume akabaki peke yake nitamfanyia
msaidizi.
Sister: Lakini Mimi sikupendi . . . .. . nampenda yesu!
Mwanaume :1yohana 4:20 MTU akisema
anampenda mungu naye humchukia ndugu yake ni
mwongo kwamaana asiyempenda ndugu yake
amwonaye atampendaje mungu asiyemwona?
Sister: Nitaaminije kwamba maneno yako uongeayo
ni kweli
Mwanaume: mathayo 12:34-36mtu mwema katka
akiba njema ya moyo wake hutoa mema na MTU
mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya
Ila mimi Kinywa changu huongea maneno
yaliyoujaza moyo wangu
Sister:: nitaaminije hayo uongeayo ni kweli?
Mwanaume:: Marko 13:41 mbingu na nchi zitapita
lakini maneno yangu hayatapita kamwe
Sister:: mbona wako wako wanawake wengi sana
kwanini umeniambia Mimi tu??
Mwanaume:: mithali 31:29 binti za watu wengi
wamefanya mema lakini wewe umewapita wote!
Sister:: ni nini kilichokufanya unipende mimi na si
wengne nimekuvutia nini ?
Mwanaume ::wimbo bora 4:7 uu mzuri sana ndani
yako Hamna hila
Sister::: ni kweli? Mimi sio mzur wa kupendwa na
wewe !!
Mwanaume::::mithali 31:30 upendeleo hudanganya
na uzur ni ubatili Bali mwanamke amchae bwana
ndiye atakaye sifiwa
Sister ::: ni nini kitatokea nikikubali na kusema ndio!
Mwanaume ::: mwanzo 2:4 mwanaume atawaacha
wazazi baba na mama ataambatana na mkewe na
hao wawili hawatakuwa wawili tens Bali mwili
mmoja.
Sister ::imekuwaje unajua sana maandiko utafikir
mchungaji
Mwanaume :: Joshua 1:8 kitabu hiki cha torati
kisiondoke kinywani mwenu Bali yatafakali maneno
yangu mchana na usiku ndipo utakapo zifanikisha
njia zako
Sister :: yaah!! Nakuona unampenda sana mungu
Mwanaume:: zabur 34:8 onjeni mwone kuwa bwana
ni mwema heri MTU yule anayemtumainia
Sister. ::mmmh bas nipe muda nifiki
ⒿⒶⓂⒶⒶ ⒶⓁⒾⓂⓅⒺⓃⒹⒶ ⒷⒾⓃⓉⒾ ⓌⒶ ⓀⒾⓁⓄⓀⓄⓁⒺ ⒿⒾⓃⓈⒾ ⓎⒶ ⓀⓊⓂⓌⒾⓃⒼⒾⒶ ⒾⓀⒶⓌⒶ ⓃⒼⓊⓂⓊ ⒶⓀⒶⒶⓂⓊⒶ ⒶⓈⓄⓂⒺ ⓋⒾⒻⓊⓃⒼⓊ ⓋⒾⓃⒼⒾ ⓋⓎⒶ ⒷⒾⒷⓁⒾⒶ ⒾⓁⒾ ⒶⓂⓀⒶⓂⒶⓉⒺ ⓀⒾⓇⒶⒽⒾⓈⒾ ⓂⒶⓏⓊⓃⒼⓊⓂⓏⓄ ⓎⒶⓄ ⓎⒶⓁⒾⓀⓊⓌⒶ ⒽⒾⓋⒾ Mwanaume: sister mambo Sister: mambo kwa yesu Mwanume: Sister samahani . . . unampenzi? Sister: hapana sihitaji mpenzi! Mwanaume: mwanzo 2:18 mungu akasema sio vema mwanaume akabaki peke yake nitamfanyia msaidizi. Sister: Lakini Mimi sikupendi . . . .. . nampenda yesu! Mwanaume :1yohana 4:20 MTU akisema anampenda mungu naye humchukia ndugu yake ni mwongo kwamaana asiyempenda ndugu yake amwonaye atampendaje mungu asiyemwona? Sister: Nitaaminije kwamba maneno yako uongeayo ni kweli Mwanaume: mathayo 12:34-36mtu mwema katka akiba njema ya moyo wake hutoa mema na MTU mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya Ila mimi Kinywa changu huongea maneno yaliyoujaza moyo wangu Sister:: nitaaminije hayo uongeayo ni kweli? Mwanaume:: Marko 13:41 mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe Sister:: mbona wako wako wanawake wengi sana kwanini umeniambia Mimi tu?? Mwanaume:: mithali 31:29 binti za watu wengi wamefanya mema lakini wewe umewapita wote! Sister:: ni nini kilichokufanya unipende mimi na si wengne nimekuvutia nini ? Mwanaume ::wimbo bora 4:7 uu mzuri sana ndani yako Hamna hila Sister::: ni kweli? Mimi sio mzur wa kupendwa na wewe !! Mwanaume::::mithali 31:30 upendeleo hudanganya na uzur ni ubatili Bali mwanamke amchae bwana ndiye atakaye sifiwa Sister ::: ni nini kitatokea nikikubali na kusema ndio! Mwanaume ::: mwanzo 2:4 mwanaume atawaacha wazazi baba na mama ataambatana na mkewe na hao wawili hawatakuwa wawili tens Bali mwili mmoja. Sister ::imekuwaje unajua sana maandiko utafikir mchungaji Mwanaume :: Joshua 1:8 kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwenu Bali yatafakali maneno yangu mchana na usiku ndipo utakapo zifanikisha njia zako Sister :: yaah!! Nakuona unampenda sana mungu Mwanaume:: zabur 34:8 onjeni mwone kuwa bwana ni mwema heri MTU yule anayemtumainia Sister. ::mmmh bas nipe muda nifiki
Like
Love
3
·327 Views