Upgrade to Pro

Kutana na mme mkorofi na mke mkorofi angalia matokeo siku moja mke aliandika latiba kwa mume wake na kuibandaka chumbani kwao ratiba hiyo ilisomeka kama ifwatavyo-;
RATIBA YA KUKUPA;
Jumatatu-sikupi
JUMANNE-sikupi
JUMATANO-nakupa
ARHAMIS-sikupi
IJUMAA-sikupi
JUMAMOSI-sikupi
JUMAPILI-nakupa
Sihitaji usumbufu siku ambazo sikupi
MUME KUONA HIYO RATIBA NAE akaandika yake iliyo someka hivi:-
RATIBA YA KULALA NJE:
J'3-nje
J'4-nje
J'5-naumwa
Alhamis-nje
Ijumaa-nje
Jumamosi-nje
Jumapili-naumwa

Ww si unajifanya nunda, siku nitakazo umwasitaki usumbufu.

NANI MKALI ZAIDI?
Kutana na mme mkorofi na mke mkorofi angalia matokeo siku moja mke aliandika latiba kwa mume wake na kuibandaka chumbani kwao ratiba hiyo ilisomeka kama ifwatavyo-; RATIBA YA KUKUPA; Jumatatu-sikupi JUMANNE-sikupi JUMATANO-nakupa ARHAMIS-sikupi IJUMAA-sikupi JUMAMOSI-sikupi JUMAPILI-nakupa Sihitaji usumbufu siku ambazo sikupi MUME KUONA HIYO RATIBA NAE akaandika yake iliyo someka hivi:- RATIBA YA KULALA NJE: J'3-nje J'4-nje J'5-naumwa Alhamis-nje Ijumaa-nje Jumamosi-nje Jumapili-naumwa Ww si unajifanya nunda, siku nitakazo umwasitaki usumbufu. NANI MKALI ZAIDI?😂😂😂😂
Like
1
·145 Views