Atualize para o Pro

TUTAREJEA KATIKA UIMARA WETU, NIAMINI - PACOME
Mchezaji wa Yanga @pacom_zouzoua kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika

"Habari za jioni, hivi karibuni klabu yetu imekuwa katika nyakati ngumu kwa kufungwa mfululizo, lakini niwahakikishie kuwa msimu ni mrefu sana na lazima tujifunze kutokana na vipigo vyetu ili tuweze kurejea Imara , si rahisi kwa shabiki kuuona timu yake aipendayo inafungwa kwa mara kwa mara hili tunalifahamu kwa sababu hatujawazoesha wapendwa Wananchi,

lakini nawaahidi kuwa tutapambana kwelikweli, tutapambana kama msimu uliopita ili kurudisha heshima ya klabu bora nchini... sisi tutarejea katika muda uliopangwa ujao, niamini.
Tunashindwa pamoja na tunashinda pamoja.

Asanteni wapendwa Wananchi

Profesa"

Kwa lugha ya Kingereza

Good evening everyone, lately, the club has been going through difficult times with successive defeats, but I assure you that the season is very long and we must learn from our defeats to bounce back, it is not easy for a supporter to see his favorite team chain defeats after defeats, we are aware of this because we have not accustomed you to this dear Citizens, but I promise you that we will really fight, fight like last season to restore the reputation of the best club in the country ... we will bounce back in the upcoming deadlines, believe me.
We lose together and we win together.

Thank you dear Wananchi

The professor
TUTAREJEA KATIKA UIMARA WETU, NIAMINI - PACOME Mchezaji wa Yanga @pacom_zouzoua kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika "Habari za jioni, hivi karibuni klabu yetu imekuwa katika nyakati ngumu kwa kufungwa mfululizo, lakini niwahakikishie kuwa msimu ni mrefu sana na lazima tujifunze kutokana na vipigo vyetu ili tuweze kurejea Imara , si rahisi kwa shabiki kuuona timu yake aipendayo inafungwa kwa mara kwa mara hili tunalifahamu kwa sababu hatujawazoesha wapendwa Wananchi, lakini nawaahidi kuwa tutapambana kwelikweli, tutapambana kama msimu uliopita ili kurudisha heshima ya klabu bora nchini... sisi tutarejea katika muda uliopangwa ujao, niamini. Tunashindwa pamoja na tunashinda pamoja. Asanteni wapendwa Wananchi 💚💛 Profesa✅" Kwa lugha ya Kingereza Good evening everyone, lately, the club has been going through difficult times with successive defeats, but I assure you that the season is very long and we must learn from our defeats to bounce back, it is not easy for a supporter to see his favorite team chain defeats after defeats, we are aware of this because we have not accustomed you to this dear Citizens, but I promise you that we will really fight, fight like last season to restore the reputation of the best club in the country ... we will bounce back in the upcoming deadlines, believe me. We lose together and we win together. Thank you dear Wananchi 💚💛 The professor✅
Like
Love
3
1 Comentários ·431 Visualizações