Upgrade to Pro

✍🏻Kwenye football huwa inaongelewa sana " MBINU " lakini kabla ya mbinu kitu namba moja cha msingi : Shinda mipambano yako :- Kuwania mpira ( Juu & Chini ) , kwenye 50/50 kuwa imara baada ya hapo ndio mbinu zinakuja . Liverpool walikuwa sharp sana , kasi , nguvu , walipasia mpira vizuri ( Ni vile tu Liverpook hawakutoa adhabu kali sana )

✍🏻Liverpool walikuwa na njia zote tatu za kupita dhidi ya muundo wa ulinzi wa City ( Defensive Block )

1: Walipita pembeni yao ( Around them ) : Gakpo + Robbo & Salah & Trent

2: Walipita ndani yao vizuri ( Play through the block ) : Ryan Grav , Mac Allister na Szobo

3: Walipita kwa mipira ya juu ( over the block ) : mipira mirefu ya Gomez , VVD na TAA .

Ukiona hivyo kama wewe mpinzani basi ujue upo matatizoni maana kwa kawaida mpinzani anapaswa kuwa na njia chache kati ya hizo tatu .

✍🏻Man City mpango wa kutengeneza idadi kubwa ya wachezaji nyuma wakianzisha mpira ulikuwa sahihi wachezaji watano ( 3-2 muundo huu, nyuma watatu na mbele yao wawili : Akanji na Gundo ) lakini ukifanya hivyo kama mbele hauna wa kukutoa nyuma ( OUTLETS ) basi ni inakuwa kama unajikaba : Ukiondoa Haaland hakuna mwingine mwenye kasi .

✍🏻Kipindi cha pili City kutumia wingers wawili ilikuwa muhimu : Doku na Savinho kuutanua uwanja kufanya Liverpool kuzuia eneo kubwa la uwanja na kukabia chini zaidi ( shida kwa City ni Liverpool walizuia vizuri sana )

NOTE

1: City kwanza waanze kupunguza makosa binafsi kwa wachezaji ( upo nyuma 1-0 halafu Dias anafanya lile kosa )

2: Luis Diaz kucheza pale kwa namba 9 kama pameanza kumfaa , movements na kuanzisha pressing

3: Kiungo cha Rico , Gundo na Silva hapana , hakuna nguvu na kasi pale

4: Gakpo anaendelea kufunga tu ( Madrid & City )

5: Haaland bila huduma changamoto

6: Pasi ya Mo Salah goli la Gakpo

7: VVD ... najua Man of the match kachukua Salah lakini kwangu VVD leo kauchapa sana katawala Maboksi yote mawili , passing

FT: Liverpool 2-0 Man City
(Geogea Ambangile)
✍🏻Kwenye football huwa inaongelewa sana " MBINU " lakini kabla ya mbinu kitu namba moja cha msingi : Shinda mipambano yako :- Kuwania mpira ( Juu & Chini ) , kwenye 50/50 kuwa imara baada ya hapo ndio mbinu zinakuja . Liverpool walikuwa sharp sana , kasi , nguvu , walipasia mpira vizuri ( Ni vile tu Liverpook hawakutoa adhabu kali sana ) ✍🏻Liverpool walikuwa na njia zote tatu za kupita dhidi ya muundo wa ulinzi wa City ( Defensive Block ) 1: Walipita pembeni yao ( Around them ) : Gakpo + Robbo & Salah & Trent 2: Walipita ndani yao vizuri ( Play through the block ) : Ryan Grav , Mac Allister na Szobo 3: Walipita kwa mipira ya juu ( over the block ) : mipira mirefu ya Gomez , VVD na TAA . Ukiona hivyo kama wewe mpinzani basi ujue upo matatizoni maana kwa kawaida mpinzani anapaswa kuwa na njia chache kati ya hizo tatu . ✍🏻Man City mpango wa kutengeneza idadi kubwa ya wachezaji nyuma wakianzisha mpira ulikuwa sahihi wachezaji watano ( 3-2 muundo huu, nyuma watatu na mbele yao wawili : Akanji na Gundo ) lakini ukifanya hivyo kama mbele hauna wa kukutoa nyuma ( OUTLETS ) basi ni inakuwa kama unajikaba : Ukiondoa Haaland hakuna mwingine mwenye kasi . ✍🏻Kipindi cha pili City kutumia wingers wawili ilikuwa muhimu : Doku na Savinho kuutanua uwanja kufanya Liverpool kuzuia eneo kubwa la uwanja na kukabia chini zaidi ( shida kwa City ni Liverpool walizuia vizuri sana ) NOTE 1: City kwanza waanze kupunguza makosa binafsi kwa wachezaji ( upo nyuma 1-0 halafu Dias anafanya lile kosa ) 2: Luis Diaz kucheza pale kwa namba 9 kama pameanza kumfaa , movements na kuanzisha pressing 3: Kiungo cha Rico , Gundo na Silva hapana , hakuna nguvu na kasi pale 4: Gakpo anaendelea kufunga tu 🔥 ( Madrid & City ) 5: Haaland bila huduma changamoto 6: Pasi ya Mo Salah goli la Gakpo 🔥 7: VVD ... najua Man of the match kachukua Salah lakini kwangu VVD leo kauchapa sana katawala Maboksi yote mawili , passing 🔥 FT: Liverpool 2-0 Man City (Geogea Ambangile)
Like
3
·257 Views