Leo tukachambue machache kuhusu Google Play Protect
Google Play Protect ni huduma ya usalama inayotolewa na Google kwa watumiaji wa Android. Inasaidia kulinda simu yako dhidi ya programu hatarishi, virusi, na programu zisizoaminika kwa kuchambua programu zote zinazopakuliwa kutoka kwenye Google Play Store na unazoinstall katika simu yako na kuangalia ikiwa zina hatari yoyote ya usalama.
Umuhimu wa Google Play Protect:
1. Inalinda simu yako dhidi ya programu hatarishi, Google Play Protect inachambua programu zote unazopakua kutoka kwenye Google Play Store na inakusaidia kugundua programu hatarishi kabla ya kuziweka kwenye simu yako.
2. Inakusaidia kugundua na kuondoa programu hatarishi zilizojificha katika simu yako, Google Play Protect inakusaidia kugundua na kuondoa programu zisizoaminika zilizowekwa kwenye simu yako bila idhini yako.
3. Inakupa taarifa za usalama: Google Play Protect inakupa taarifa za usalama kuhusu programu zilizowekwa kwenye simu yako na inakusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu programu ambazo unaweza kuweka kwenye simu yako.
Jinsi ya kuipata Google Play Protect
1. Nenda kwenye app yako ya play store
2.upande wa kulia juu kuna icon ya gmail yako unayotumia kwenye simu bonyeza apo
3.tafuta sehemu iliyoandikwa play protect bonyeza apo
Unaweza scan ili kuweza kujua kama kuna program yoyote ambayo ni hatarishi kwenye simu yako.

·186 Views