Upgrade to Pro

CANCEL PROGRAM ZILIZO STACK AU ZINAZOSEMA NOT RESPONDING KWA DAKIKA MOJA


Ukiwa unatumia pc alafu, labd folder au software ika stack au ikasema not responding

Huwa inashindikana ku cancel, na pc inabaki ina load na hauwez fanya chochote

Sasa ikitokea kitu kama hicho fanya hivi vifuatavyo hapo chini, na kama windows explorer ime stack utafata njia ya mwisho

Ila unawez itumia kwa zote, kwa ufasaha zaidi

Njia ya kwanza, kama ni file limestack,
Unata Right Click kwenye Task Bar*(kile kibox kirefu kilichok chin kweny screen san san)* alaf click Task Manager
Au bonyez Windows +X alaf Click task manager

Baada ya hapo uta click more details kwa windows 10 kwenda juu, alaf click Process

Kwa windows 8 Kushuka chini, uta click Processes direct

Baada ya hapo utaangalia program ambayo imeandikwa .*Not Responding* au utaangalia jina la program iliyo stack uta right click alaf *End Task*

Unakuw umemaliza kazi

Kama program imeshikilia screen nzima na hamna sehem ya ku click, labda ni game limestack au veep, fanya hivi

Bonyeza Kweny Keyboard Control(Ctrl)+Alt(Alternative)+Del(Delete)
*Ctrl+Alt+Del*

Hapo itakuja blue screen, uta click Task Manager, ikifunguka utafata hizo steps apo juu tena
🔥CANCEL PROGRAM ZILIZO STACK AU ZINAZOSEMA NOT RESPONDING KWA DAKIKA MOJA🔥 🔑Ukiwa unatumia pc alafu, labd folder au software ika stack au ikasema not responding 🔑Huwa inashindikana ku cancel, na pc inabaki ina load na hauwez fanya chochote 🔑Sasa ikitokea kitu kama hicho fanya hivi vifuatavyo hapo chini, na kama windows explorer ime stack utafata njia ya mwisho 🔑Ila unawez itumia kwa zote, kwa ufasaha zaidi 🔑Njia ya kwanza, kama ni file limestack, Unata Right Click kwenye Task Bar*(kile kibox kirefu kilichok chin kweny screen san san)* alaf click Task Manager 🔑Au bonyez Windows +X alaf Click task manager 🔑Baada ya hapo uta click more details kwa windows 10 kwenda juu, alaf click Process 🔑Kwa windows 8 Kushuka chini, uta click Processes direct 🔑Baada ya hapo utaangalia program ambayo imeandikwa .*Not Responding* au utaangalia jina la program iliyo stack uta right click alaf *End Task* 🔑Unakuw umemaliza kazi✨ 🔑Kama program imeshikilia screen nzima na hamna sehem ya ku click, labda ni game limestack au veep, fanya hivi 🔑Bonyeza Kweny Keyboard Control(Ctrl)+Alt(Alternative)+Del(Delete) *Ctrl+Alt+Del* 🔑Hapo itakuja blue screen, uta click Task Manager, ikifunguka utafata hizo steps apo juu tena🤗
Like
2
·119 Ansichten