"SASA SIO UTANI WA JADI TENA NI KUKOMOANA TU.
Unaweza kusema hivi kua kwa sasa kinachofuata sio utani tena kwenye hizi Timu za Simba na Yanga kutokana na haya masakata mawili baada ya Sandaland Msambazaji wa Jezi za Simba Kumshtaki Ally Kamwe baada ya kauli yake kuhusu Jezi za Simba alichoona kua ni kuharibiwa Brand yake.
Yanga na wao wamejibu mapigo kwa Kumshataki Ahmed Ally kutokana na Tuhuma zake 2 kwa Yanga-:
- PACOME alisema anamaliza kandarasi yake ndani ya
Yanga na Simba wanatazama namna ya kumsajili na kuna kauli za ukakasi alizungumza ambazo zimeharibu brand ya Yanga kwa wabia wake, inadaiwa alitaja mpaka mambo ya sindano.
- TUHUMA ZA UCHAWI, anatakiwa kuthibitisha namna gani Yanga ni Wachawi kwa maana hawajawahi kupewa adhabu yoyote na Bodi kuhusu Uchawi, akishindwa kuthibitisha tuhuma hizo basi mzigo ulipwe." - Georgea Ambangile, Mchambuzi.
:
Hii ndio inaitwa Simba SC (Ahmed Ally) wanataka 3 alafu Yanga SC wao 10, yaani Yanga SC (Ally Kamwe) watasubiri Simba SC watoe 10 alafu wachukue 3 watoe kwa Simba SC kisha wabaki na 7 . Hawa Viumbe wanaanza kuharibu mpira sasa. Ikumbukwe FIFA hawapendi maswala ya michezo kwenda Mahakamani (Serikali).

Hii ndio inaitwa Simba SC (Ahmed Ally) wanataka 3 alafu Yanga SC wao 10, yaani Yanga SC (Ally Kamwe) watasubiri Simba SC watoe 10 alafu wachukue 3 watoe kwa Simba SC kisha wabaki na 7 😂. Hawa Viumbe wanaanza kuharibu mpira sasa. Ikumbukwe FIFA hawapendi maswala ya michezo kwenda Mahakamani (Serikali).
·214 Vue