Upgrade to Pro

KIZURI KWAKO, KINAWEZA KIBAYA KWA WEMGINE.

"Lazima ujue Unachokithamini wewe kinaweza kudharauliwa na wengine kipaumbele chako kinaweza kuwa SI kitu Cha Maana kwa wengine.Unachokipenda wewe kinaweza kuwa hakina Thamani kwa Mwingine,Usiruhusu Furaha Yako ipotezwe kwa kudharau unachotakiwa kukithamini kwa sababu ya wengine.Utaangushwa na uliowabeba,utazomewa na uliowasaidia,watasahau mazuri Yako na Kupambana na mabaya katika kurasa zako,na huu sio mtihani wa maisha haya ila ndo maisha yenyewe binadamu Tunajisahau sana" WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO. Kabla hujatuombea mabaya yatukute katika Maisha yetu hakikisha unao Uwezo na moyo wa kuwasaidia wale wote wanaotutegemea.
KIZURI KWAKO, KINAWEZA KIBAYA KWA WEMGINE. "Lazima ujue Unachokithamini wewe kinaweza kudharauliwa na wengine kipaumbele chako kinaweza kuwa SI kitu Cha Maana kwa wengine.Unachokipenda wewe kinaweza kuwa hakina Thamani kwa Mwingine,Usiruhusu Furaha Yako ipotezwe kwa kudharau unachotakiwa kukithamini kwa sababu ya wengine.Utaangushwa na uliowabeba,utazomewa na uliowasaidia,watasahau mazuri Yako na Kupambana na mabaya katika kurasa zako,na huu sio mtihani wa maisha haya ila ndo maisha yenyewe binadamu Tunajisahau sana" WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO. Kabla hujatuombea mabaya yatukute katika Maisha yetu hakikisha unao Uwezo na moyo wa kuwasaidia wale wote wanaotutegemea.
Like
Love
4
2 Comments ·70 Views