Upgrade to Pro

Psiphone Pro Kwa Watumiaji Wa Halotel

Kama Unatumia Halotel Basi Nenda Kadownload Psiphone Pro Kutoka Play store.
Ukiifungua Nenda Sehemu Walipoandika Options Halafu Utaclick Proxy Settings, Hakikisha Unaweka Tick Kwenye Kibox Cha Kwanza Then, Weka On Na Kwenye Kiduara Cha Kwanza (Mara Nyingi Kinakiwa On Automatic)
Baada Ya Hapo Rudi Nyuma Nenda More Options Kisha Weka Tick Kwenye Disable Timeouts.

Rudi Nyuma Tena Nenda VPN Settings Alafu  Tunnel Apps Unaweza Ukachagua App Ambazo Unahitaji Ziwe Tunnelled Kutokana Na Speed Ya Psiphone Usichague App Nyingi Chagua Kama Whatsapp Na Telegram Basi Mana Hii Psiphone Pro Ni Kwa Kuchatia Tu
Baada Ya Kumaliza Vyote Hivyo Unaweza Kukonekt Sasa

Usisahau Kama Psiphone Ni Kwa Kuchatia Tu Usitegeme Kuingia You Tube Na Psiphone Pro
Psiphone Pro Kwa Watumiaji Wa Halotel ๐ŸŒ Kama Unatumia Halotel Basi Nenda Kadownload Psiphone Pro Kutoka Play store. Ukiifungua Nenda Sehemu Walipoandika Options Halafu Utaclick Proxy Settings, Hakikisha Unaweka Tick Kwenye Kibox Cha Kwanza Then, Weka On Na Kwenye Kiduara Cha Kwanza (Mara Nyingi Kinakiwa On Automatic) Baada Ya Hapo Rudi Nyuma Nenda More Options Kisha Weka Tick Kwenye Disable Timeouts. Rudi Nyuma Tena Nenda VPN Settings Alafu  Tunnel Apps Unaweza Ukachagua App Ambazo Unahitaji Ziwe Tunnelled Kutokana Na Speed Ya Psiphone Usichague App Nyingi Chagua Kama Whatsapp Na Telegram Basi Mana Hii Psiphone Pro Ni Kwa Kuchatia Tu Baada Ya Kumaliza Vyote Hivyo Unaweza Kukonekt Sasa ๐Ÿ˜‹ ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ Usisahau Kama Psiphone Ni Kwa Kuchatia Tu Usitegeme Kuingia You Tube Na Psiphone Pro
Like
1
ยท112 Views