NAMNA YA KUSHARE BANDO LA VPN NA RAFIKI PASIPO PROXY.
🎞 Leo Tuangalie namna tunaweza share mb za vpn na rafiki bila kutumia proxy. Maana kuna baadh ya watu application hizo kama padnet na Everyproxy zimewia vigumu kwao kuelewa namna zinatumika pia namna ya kuset vyema .
Sasa tuangalie ni jinsi gani tunaweza share bando la vpn na rafiki hata kama ni Airtel 300MB bila kutumia proxy...
kwa kawaida huw ukiwasha hotspot kwako na wifi ya rafiki huwa hawezi kupata access Yoyote.. sasa Trick ni ndg tu tujifunze kwa ambao atufaham Tujue pia.
Steps;
Install vpn husika na configuration file kwa simu zote mbili. Yaan yako na kwa rafiki.
- unaweza tumia vpn Yoyote tu kama ni http custom, ha tunnel, napsternetv, stark vpn n.k
Weka line husika kwa Simu yako kisha washa data
Fungua hotspot kwako - kwa kawaida ukifungua hotspot itakua default iko WPA2 na kuna password inakuepo so wew configure kwa kuweka none au kuweka password nyepesi kwako kuifaham.
Fungua wifi kwa rafiki yako kisha scan available networks .
- utaona Jina la wifi ambalo mara nyingi huwa ina relate kutokana na jina la simu yako mfano kama unatumia SAMSUNG S4 basi hata wifi name itaendana na jina hilo..
Connect
- unaweza kuombwa password kama uliacha WPA2 na kuchange password kuweka yako. Hivyo password uliyoweka kule .
-unaweza usiombwe password kama uliweka none( umetoa ulinzi maana yake yeyote anaweza kuwa connected na simu yako)
Baada ya kuwa hotspot yako imeconnect na rafiki haitasoma mb kama kwako unavyotumia...
Basi ingia katika Simu ya rafiki yako connect na vpn ambayo ulimuekea mule ,make sure asiwashe data bali azime na atumie ile wifi yako tu .
🛠Vpn itasoma connected kupitia wifi yako na line yako...
Hii process wifi yako itatumika kama wire ambayo unasupply mb kwa Simu. Hivyo unaweza connect na watu zaid ya wawili na ukawawekea vpn na settings zake kisha wakatumia wifi yako ambayo pia itasoma kama line...
Kwa ambao wanakua wana host/vpn za mtandao flani either Vodacom,Tigo,Airtel,Halotel, Zantel, TTCL na uwezekano wa kupata line hizo mahali ulipo au hauna NIDA but flani anayo... pia mnaweza tumia hii njia ya WIFI kutumia .

📡Sasa tuangalie ni jinsi gani tunaweza share bando la vpn na rafiki hata kama ni Airtel 300MB bila kutumia proxy...
🎥kwa kawaida huw ukiwasha hotspot kwako na wifi ya rafiki huwa hawezi kupata access Yoyote.. sasa Trick ni ndg tu tujifunze kwa ambao atufaham Tujue pia.
Steps;
✅ Install vpn husika na configuration file kwa simu zote mbili. Yaan yako na kwa rafiki.
- unaweza tumia vpn Yoyote tu kama ni http custom, ha tunnel, napsternetv, stark vpn n.k
✅ Weka line husika kwa Simu yako kisha washa data
✅ Fungua hotspot kwako - kwa kawaida ukifungua hotspot itakua default iko WPA2 na kuna password inakuepo so wew configure kwa kuweka none au kuweka password nyepesi kwako kuifaham.
✅ Fungua wifi kwa rafiki yako kisha scan available networks .
- utaona Jina la wifi ambalo mara nyingi huwa ina relate kutokana na jina la simu yako mfano kama unatumia SAMSUNG S4 basi hata wifi name itaendana na jina hilo..
✅ Connect
- unaweza kuombwa password kama uliacha WPA2 na kuchange password kuweka yako. Hivyo password uliyoweka kule .
-unaweza usiombwe password kama uliweka none( umetoa ulinzi maana yake yeyote anaweza kuwa connected na simu yako)
✅ Baada ya kuwa hotspot yako imeconnect na rafiki haitasoma mb kama kwako unavyotumia...
Basi ingia katika Simu ya rafiki yako connect na vpn ambayo ulimuekea mule ,make sure asiwashe data bali azime na atumie ile wifi yako tu .
🛠Vpn itasoma connected✅ kupitia wifi yako na line yako...
Hii process wifi yako itatumika kama wire ambayo unasupply mb kwa Simu. Hivyo unaweza connect na watu zaid ya wawili na ukawawekea vpn na settings zake kisha wakatumia wifi yako ambayo pia itasoma kama line...
🔦Kwa ambao wanakua wana host/vpn za mtandao flani either Vodacom,Tigo,Airtel,Halotel, Zantel, TTCL na uwezekano wa kupata line hizo mahali ulipo au hauna NIDA but flani anayo... pia mnaweza tumia hii njia ya WIFI kutumia .
📲📲📲📲📲📲📲📲📲
·143 Views