๐ฃ๐ฎ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ป๐ถ๐ฑ๐ฎ ๐ข๐ป๐น๐ถ๐ป๐ฒ
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa Tanzania (nida) unajua ina tovuti ambayo itakusaidia kuweza kufanya usajili online ya kupata namba ya nida kupitia simu au kompyuta.
Sio lazima Tena mtu atembelee kituo cha nida kwa ajili ya kujisajili kupata kitambulisho cha taifa unaweza kujisajili Mahali popote ulipo na kupunguza msongamano wa kutembelea kituo cha Nida.
Unachotakiwa ni kutembelea tovuti hii
eonline.nida.go.tz
kupitia simu au kompyuta yako utaweza kujisajili kupitia fomu na kuweka taarifa zako sahihi ukimaliza inabidi hu print form yako uliyojaza.
Kisha utaweza kuchukua form na kupeleka serekali za mtaa kuthibitisha taarifa za ukaaji wa eneo unaloishi alafu utaweza kutuma taarifa zako kwenye ofisi za Nida pamoja na nakala zako Ili kukamilisha utaratibu.
@

๐ญ Mamlaka ya vitambulisho vya taifa Tanzania (nida) unajua ina tovuti ambayo itakusaidia kuweza kufanya usajili online ya kupata namba ya nida kupitia simu au kompyuta.
๐ญ Sio lazima Tena mtu atembelee kituo cha nida kwa ajili ya kujisajili kupata kitambulisho cha taifa unaweza kujisajili Mahali popote ulipo na kupunguza msongamano wa kutembelea kituo cha Nida.
Unachotakiwa ni kutembelea tovuti hii ๐
eonline.nida.go.tz
๐ญ kupitia simu au kompyuta yako utaweza kujisajili kupitia fomu na kuweka taarifa zako sahihi ukimaliza inabidi hu print form yako uliyojaza.
๐ญ Kisha utaweza kuchukua form na kupeleka serekali za mtaa kuthibitisha taarifa za ukaaji wa eneo unaloishi alafu utaweza kutuma taarifa zako kwenye ofisi za Nida pamoja na nakala zako Ili kukamilisha utaratibu.
@
ยท87 Views