Leia mais
Je simu yako intaneti Iko slow? Unahitaji kuongeza kasi? Simu kuwa slow kwenye intaneti ni jambo linalochukiza sana. Akuna mtu anayependa Unajikuta umenunua kifurushi chako Cha intaneti shida ukiwasha data • unatuma ujumbe Whatsapp inakataa • status hazifunguki • unatizama YouTube video ina ganda ganda • unafungua tovuti mbalimbali zinachelewa ina load sana. • unafungua Instagram kutizama picha au kupata update ya post mpya inachelewa. • unapakua kitu mtandaoni kina ganda nk Nini ufanye kuongeza kasi ya intaneti 1️⃣ clear cache Ni kweli ku clear cache akuongezi nafasi kwenye internal storage ya simu yako lakini kunaongeza kasi ya intaneti. Kama upendelei kufanya clear cache kwa muda mrefu utasababisha simu kuwa slow pamoja na intaneti. 2️⃣ close your app Kuna wakati intaneti inakua slow kwenye simu kutokana na baadhi ya app kutumika bila wewe kujua labda ulizifungua na ulipomaliza kutumia ukuzifunga zikawa zinatumika bila wewe kujua ivyo ni muhimu kuzifunga. 3️⃣ Uninstall apps Kama Kuna app ambayo utumi kwenye simu yako basi iondoe au fanya ku disable maana kuna baadhi ya program zinakula sana bando ata kama utumi kwenye simu yako 4️⃣ tumia browser/ app tofauti Sio kwamba utaongeza kasi tu ya intaneti pia itakusaidia kuondokana na matumiizi ya kutumia bando kubwa kwenye simu yako, kwani program za lite version zinatumia data ndogo kuliko zile original. Pendelea pia kutumia browser tofauti tofauti kama vile Opera mini, uc browser, Mozilla lite sio kutumia browser moja TU. 5️⃣ reset network yako Kuwa na tabia ya kureseti network kila baada ya mwenzi utafanya simu yako kuwa na kasi kwenye upande wa intaneti Kuna mtu toka anunue simu hawajai ku reset network. ingia setting >> system>> reset option >> reset wifi, mobile & Bluetooth utaweka password au pattern yako Kisha itaji reset. Pia Ingia tena setting >> Mobile network>> chagua line yako kama tigo, Airtel, voda, halotel >>choose network >> ondoa automatically Restart simu yako. washikaji tujifunze 😇😇😇
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·459 Visualizações