Upgrade to Pro

Fahamu baadhi ya mambo ukifanya kwenye Whatsapp utafungiwa akaunti yako siku yoyote jihadhari ??

1️⃣ kutumia WhatsApp mods
Mtu yeyote anayetumia WhatsApp mods jihadhari kama vile Whatsapp gb,fm nk unaweza kufungiwa na kufutiwa akaunti yako muda wowote.

Ukitumia Whatsapp gb , utakua na uwezo wa kupost status mpaka ya dakika 5, kutuma files kubwa kubwa ,kuchukua status za wenzako na nk lakini Whatsapp watakufungia muda wowote.

Kwa kuwa program nyingi za Whatsapp mods usalama wake ni mdogo ni rahisi mtu kudukuliwa kupitia link anazotumiwa pia matangazo mengi ivyo simu yako ni Rahisi kuingiliwa na virus au malware.

2️⃣ kutuma maudhui ya kuogopesha na kutisha
Jihadhari sana wakati unatumia Whatsapp na vitu unavyotuma kwenye group au chati zako na watu unaweza kufungiwa akaunti yako kwa muda au moja kwa moja.

Kuna baadhi ya picha,videos, documents unazotuma kwa watu kama sio salama Whatsapp wanaweza kukufungia akaunti yako na kuifuta kabisa.

3️⃣ watu kukuripoti mara kwa mara
ikitokea kikundi Cha watu kadhaa kikaku repoti juu ya tabia yako kwenye Whatsapp either umewatumia link za ajabu au umewaadi kwenye ma groups bila kupenda upelekea team ya Whatsapp kukufungia akaunti yako.

Ivyo ikitokea kikundi Cha watu wengi wanakupiga sana block kwenye Whatsapp yako pia ni njia moja wapo ya kufungiwa akaunti yako.

4️⃣ Kutumia Whatsapp kwa ajili ya ku hack
Kuna njia ya ku hack akaunti za watu kupitia phishing techniques ya link kupitia Whatsapp mtu anakuambia sijui ingia hapa kupata followers, likes , nk upelekea akaunti yako kufungiwa.

4️⃣ Sending spam
Kuna wale watu wanatumia message moja kwa namba nyingi pia zikiwa nyingi sana hizo message Whatsapp wanaweza kukufungia akaunti yako inaonekana kero sana kila mara unatuma message nyingi nyingi kwa watu ambao umesave namba zao haswa zile forward message.

Pia kutengeneza ma groups mengi ya Whatsapp Yani Whatsapp Wana limit kwa ya kutengeneza groups jihadhari.

Jihadhari sana kutumia Whatsapp mods sio Salama kwako ni rahisi kufungiwa akaunti yako.
Fahamu baadhi ya mambo ukifanya kwenye Whatsapp utafungiwa akaunti yako siku yoyote jihadhari ?? 1️⃣ kutumia WhatsApp mods Mtu yeyote anayetumia WhatsApp mods jihadhari kama vile Whatsapp gb,fm nk unaweza kufungiwa na kufutiwa akaunti yako muda wowote. Ukitumia Whatsapp gb , utakua na uwezo wa kupost status mpaka ya dakika 5, kutuma files kubwa kubwa ,kuchukua status za wenzako na nk lakini Whatsapp watakufungia muda wowote. Kwa kuwa program nyingi za Whatsapp mods usalama wake ni mdogo ni rahisi mtu kudukuliwa kupitia link anazotumiwa pia matangazo mengi ivyo simu yako ni Rahisi kuingiliwa na virus au malware. 2️⃣ kutuma maudhui ya kuogopesha na kutisha Jihadhari sana wakati unatumia Whatsapp na vitu unavyotuma kwenye group au chati zako na watu unaweza kufungiwa akaunti yako kwa muda au moja kwa moja. Kuna baadhi ya picha,videos, documents unazotuma kwa watu kama sio salama Whatsapp wanaweza kukufungia akaunti yako na kuifuta kabisa. 3️⃣ watu kukuripoti mara kwa mara ikitokea kikundi Cha watu kadhaa kikaku repoti juu ya tabia yako kwenye Whatsapp either umewatumia link za ajabu au umewaadi kwenye ma groups bila kupenda upelekea team ya Whatsapp kukufungia akaunti yako. Ivyo ikitokea kikundi Cha watu wengi wanakupiga sana block kwenye Whatsapp yako pia ni njia moja wapo ya kufungiwa akaunti yako. 4️⃣ Kutumia Whatsapp kwa ajili ya ku hack Kuna njia ya ku hack akaunti za watu kupitia phishing techniques ya link kupitia Whatsapp mtu anakuambia sijui ingia hapa kupata followers, likes , nk upelekea akaunti yako kufungiwa. 4️⃣ Sending spam Kuna wale watu wanatumia message moja kwa namba nyingi pia zikiwa nyingi sana hizo message Whatsapp wanaweza kukufungia akaunti yako inaonekana kero sana kila mara unatuma message nyingi nyingi kwa watu ambao umesave namba zao haswa zile forward message. Pia kutengeneza ma groups mengi ya Whatsapp Yani Whatsapp Wana limit kwa ya kutengeneza groups jihadhari. 🔻Jihadhari sana kutumia Whatsapp mods sio Salama kwako ni rahisi kufungiwa akaunti yako.
·434 Views