JIFUNZE KUHUSU GAME GUARDIAN (GAME HACKING APP)
$Game guadian ni app ambayo inatupa sisi uwezo wa ku weka uanvyotaka(modify)
mifumo inayofanya kazi kwenye games za android ili kupata faida na improvement
kinyume na inavyo takiwa .kufanya kwake kazi kuna jikita sana kwenye code injetion
wakati game linachezwa kwa ku modfy parameters za game
$Pale tu gamaguardian imekuwa installed unaweza ukuliacha file likawa linafanya
kazi kwa nyuma(background)na inabaki transparent icon kwenye screen ambayo unaweza
ukaiona wakati unacheza game wakati wote. wakati ume launch game unaweza ukafungua
game guardian na kuchangua process ipi ya game unataka ku modify. kwa mfano kama
una kiasi fulani cha gold,coins au bullets unaweza ukatumia game guardian hexadecimal
editor kutafuta hiyo namba na kuibadilisha na kuweka unayoitaka wewe
🛎$Kitu kingine kuhusu gameguardian ina uwezo wa ku modify tarehe ya game na ya simu pia
ili wewe uweze kupata kitu fulani ambacho ulitakiwa ukisubiri kwa muda mrefu mfano ⚰⚰Gangster
Vegas ukienda kuuza zile super cars mfululizo wanakupa kama lisaa kusubiri na hauna pa kuliweka
gari basi hili file linaweza kuurusha muda mbele na ukamaliza mission zako .ili kusimamisha
au kupeleka muda haraka jaribu ku bonyeza ile floating icon na uchague mwenyewe mda uende slow
au speed
$Hili file limetengenezwa kaajili ya cheating lakini kuna games ambazo ukijulikana unatumia
hili file kucheat basi kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuipoteza account yako ya kwenye game hilo
hasa hasa online games
===============================================================================================
JINSI YA KUTUMIA GAME GUARDIAN
$Kama file hauna basi download kwenye official website ya game guardian na wala sio pengine ili
kujikinga na hatari ya kudownload virus
$Baada ya kuinstall file lako lifungue alafu bonyeza home button ili kuliacha liendelee kufanya kazi
kwa nyuma (background)
$Anzisha game ambalo unataka ku hack , hakikisha kwamba umeandika kiasi ambacho unataka kubadilisha mfano
kiasi cha gold au scores
$Baada ya hapo click ile transparent icon ya game guardian kwenye screen alafu click >>search<< baada
ya hapo ingiza kiasi unachotaka kubadilisha
$Itaonesha results nyingi sasa cheza game na tumia gold zaidi na zaidi
$Baada ya hapo rudia tena kuandika namba zile mpaka upate tokeo moja
$Baada ya kupata tokeo moja badi hold hiyo results alf ingiza namba ambayo ungependa zaidi iwe
basi mambo yatabadilika baada ya wewe kubonyeza OK na hii ndio njia nzima ya ku hack game kwa kutumia game guardian
ili kupata free rewards pia kuna files nyingi kama vile lucky patcher,aimbots,wallhacks,speed hacks, na hizi sana sana
zinatumika kwenye games kama vile PUBG
======================================================================================================================

🏁🎭 JIFUNZE KUHUSU GAME GUARDIAN (GAME HACKING APP)🎭🎭
⏰⏰$Game guadian ni app ambayo inatupa sisi uwezo wa ku weka uanvyotaka(modify)
mifumo inayofanya kazi kwenye games za android ili kupata faida na improvement
kinyume na inavyo takiwa .kufanya kwake kazi kuna jikita sana kwenye code injetion
wakati game linachezwa kwa ku modfy parameters za game
🕑🕑🕑$Pale tu gamaguardian imekuwa installed unaweza ukuliacha file likawa linafanya
kazi kwa nyuma(background)na inabaki transparent icon kwenye screen ambayo unaweza
ukaiona wakati unacheza game wakati wote. wakati ume launch game unaweza ukafungua
game guardian na kuchangua process ipi ya game unataka ku modify. kwa mfano kama
una kiasi fulani cha gold,coins au bullets unaweza ukatumia game guardian hexadecimal
editor kutafuta hiyo namba na kuibadilisha na kuweka unayoitaka wewe
🛎🛀$Kitu kingine kuhusu gameguardian ina uwezo wa ku modify tarehe ya game na ya simu pia
ili wewe uweze kupata kitu fulani ambacho ulitakiwa ukisubiri kwa muda mrefu mfano ⚰⚰⌚⏳Gangster
Vegas ukienda kuuza zile super cars mfululizo wanakupa kama lisaa kusubiri na hauna pa kuliweka
gari basi hili file linaweza kuurusha muda mbele na ukamaliza mission zako .ili kusimamisha
au kupeleka muda haraka jaribu ku bonyeza ile floating icon na uchague mwenyewe mda uende slow
au speed
🚜
🚜🚜$Hili file limetengenezwa kaajili ya cheating lakini kuna games ambazo ukijulikana unatumia
hili file kucheat basi kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuipoteza account yako ya kwenye game hilo
hasa hasa online games
===============================================================================================
⚓⚓ JINSI YA KUTUMIA GAME GUARDIAN⛽⛽
🚧
🚧🚧 $Kama file hauna basi download kwenye official website ya game guardian na wala sio pengine ili
kujikinga na hatari ya kudownload virus
🚔🚔$Baada ya kuinstall file lako lifungue alafu bonyeza home button ili kuliacha liendelee kufanya kazi
kwa nyuma (background)
🙄🙄$Anzisha game ambalo unataka ku hack , hakikisha kwamba umeandika kiasi ambacho unataka kubadilisha mfano
kiasi cha gold au scores
🤗🤗$Baada ya hapo click ile transparent icon ya game guardian kwenye screen alafu click >>search<< baada
ya hapo ingiza kiasi unachotaka kubadilisha
😎😎 $Itaonesha results nyingi sasa cheza game na tumia gold zaidi na zaidi
🤔🤔$Baada ya hapo rudia tena kuandika namba zile mpaka upate tokeo moja
😐😐 $Baada ya kupata tokeo moja badi hold hiyo results alf ingiza namba ambayo ungependa zaidi iwe
basi mambo yatabadilika baada ya wewe kubonyeza 😣OK na hii ndio njia nzima ya ku hack game kwa kutumia game guardian

·81 Views