๐๐ธ๐ถ๐๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐ถ๐บ๐ฒ๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ท๐ฒ ?
Unajua kupoteza simu yako baada ya kuingia maji ni jambo linaloumiza sana haswa ikiwa simu yako umenunua kwa gharama ?
Unajua simu nyingi ambazo haziwezi kupitisha maji ni chache alafu za gharama sio poa. Ila unajua simu yako Ikingia maji jua warranty yako haifanyi kazi kwenye ilo hivyo utagharamia mwenyewe marekebisho ?
Sasa Leo nimekuletea njia utazifuata ikiwa simu yako imeingia kwenye maji
1๏ธโฃ Towel - dry your phone & remove cover
Ikiwa simu yako imeingia kwenye maji basi fanya hivi toa kava lake kama inatoka kava la betri pia litoe.
2๏ธโฃ Switch off & stay away from charger
Hata siku moja ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima Basi usichomeke chaji nakuomba hakikisha simu imezimwa pia kha mbali na chaji Yani usiweke chaji.
Hata kama simu yako imeingia maji alafu ika Waka fresh TU bila shida basi usiweke kwenye chaji hapo kwa hapo kwani ikitokea umeweka chaji basi una asilimia kubwa ya kuiua kabisa.
3๏ธโฃ Bury your phone in rice
Ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima au bado haijazima ipige pige kwanza kwa mkono kisha weka kwenye mchele kwani mchele unasaidia kunyonya maji yote ambayo wewe umeshindwa kuyafikia kama vile kwenye kamera , speaker , kwenye glass screen protector nk.
Hivyo hakikisha umeiweka simu yako kwenye mchele kwa muda wa siku mbili mpaka 3 pia usitumie ile hairdryer ya kukausha nywele utauq simu.
4๏ธโฃ Put in the fridge
Inawezekana ikawa ya kushangaza sana ila hakikisha umechukua mchele umeupika vizuri Yani umeiva au ule mkavu chukua chombo chochote Cha plastic weka mchele kisha simu iweke Kati Kati kisha tia kwenye friji subir kwa masaa tisa mpaka Kumi simu yako itakua fresh
Ila njia hii hakikisha friji linagandisha kweli pia toa line yako au sd card zako ndo uweke baada ya hapo simu yako inatoka safi tu
Njia ya mwisho peleka kwa fundi ukiona Bado inazingua Sasa inabidi utumie gharama za kupeleka kwa fundi kwa msaada zaidi

Unajua simu nyingi ambazo haziwezi kupitisha maji ni chache alafu za gharama ๐ sio poa. Ila unajua simu yako Ikingia maji jua โ warranty yako haifanyi kazi kwenye ilo hivyo utagharamia mwenyewe marekebisho ?
Sasa Leo nimekuletea njia utazifuata ikiwa simu yako imeingia kwenye maji ๐
1๏ธโฃ Towel - dry your phone & remove cover
Ikiwa simu yako imeingia kwenye maji basi fanya hivi toa kava lake kama inatoka kava la betri pia litoe.
2๏ธโฃ Switch off & stay away from charger
Hata siku moja ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima Basi ๐ usichomeke chaji nakuomba hakikisha simu imezimwa pia kha mbali na chaji Yani usiweke chajiโ
.
Hata kama simu yako imeingia maji alafu ika Waka fresh TU bila shida basi usiweke kwenye chaji hapo kwa hapo kwani ikitokea umeweka chaji basi una asilimia kubwa ya kuiua kabisa.
3๏ธโฃ Bury your phone in rice ๐พ
Ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima au bado haijazima ipige pige kwanza kwa mkono kisha weka kwenye mchele kwani mchele unasaidia kunyonya maji yote ambayo wewe umeshindwa kuyafikia kama vile kwenye kamera , speaker , kwenye glass screen protector nk.
Hivyo hakikisha umeiweka simu yako kwenye mchele kwa muda wa siku mbili mpaka 3 pia usitumie ile hairdryer ya kukausha nywele utauq simu.
4๏ธโฃ Put in the fridge
Inawezekana ikawa ya kushangaza sana ila hakikisha umechukua mchele umeupika vizuri Yani umeiva au ule mkavu chukua chombo chochote Cha plastic weka mchele kisha simu iweke Kati Kati kisha tia kwenye friji subir kwa masaa tisa mpaka Kumi ๐ช simu yako itakua fresh
Ila njia hii hakikisha friji linagandisha kweli pia toa line yako au sd card zako ndo uweke baada ya hapo ๐ simu yako inatoka safi tu

ยท208 Views