Upgrade to Pro

#SUPATECH: Hii hapa inaitwa GOOGLE KEEP kutokea Google, App ambayo itakuwezesha wewe mtumia simu janja kuhifadhi taarifa zako.
.
GOOGLE KEEP inapatikanaji kwa watumiaji wote wa Android, IOS na Web kupitia G-Mail account yako.
.
Utofauti wa GOOGLE KEEP na App nyingine za kuhifadhi taarifa zako.

👉🏾Upatikanaji wake : inapatikana ikiwa kama App kwa watumiaji wa simu janja kupitia Playstore na Appstore pia inapatikana kwenye Web kupitia Gmail account.

👉🏾Inakupa uwezekano wa kuandika maneno hadi kufikia 20,000

👉🏾Ni bure na pia kwa watumiaji wake kwa njia ya App inakupa uwezo wa kuitumia hata kama huna Data.

👉🏾Ujazo kwa maaana ya storage ya kwake inafikia GB 15 hii inakuwezesha kuweka vitu vingi zaidi.

👉🏾Urahisi na uwezekano wa kutuma kile ulichokiandika kupitia Google Keep ni rahisi zaidi.

👉🏾Si tu maandishi inakupa uwezo wa kuhifadhi sauti, picha na orodha ya vitu

Mwisho na kwa umuhimu ili kupata huduma hii ni muhimu kuwa na account ya G-mail, Na hata ikiwa umepoteza simu ikiwa kama umehifadhi taarifa
#SUPATECH: Hii hapa inaitwa GOOGLE KEEP kutokea Google, App ambayo itakuwezesha wewe mtumia simu janja kuhifadhi taarifa zako. . GOOGLE KEEP inapatikanaji kwa watumiaji wote wa Android, IOS na Web kupitia G-Mail account yako. . Utofauti wa GOOGLE KEEP na App nyingine za kuhifadhi taarifa zako. 👉🏾Upatikanaji wake : inapatikana ikiwa kama App kwa watumiaji wa simu janja kupitia Playstore na Appstore pia inapatikana kwenye Web kupitia Gmail account. 👉🏾Inakupa uwezekano wa kuandika maneno hadi kufikia 20,000 👉🏾Ni bure na pia kwa watumiaji wake kwa njia ya App inakupa uwezo wa kuitumia hata kama huna Data. 👉🏾Ujazo kwa maaana ya storage ya kwake inafikia GB 15 hii inakuwezesha kuweka vitu vingi zaidi. 👉🏾Urahisi na uwezekano wa kutuma kile ulichokiandika kupitia Google Keep ni rahisi zaidi. 👉🏾Si tu maandishi inakupa uwezo wa kuhifadhi sauti, picha na orodha ya vitu Mwisho na kwa umuhimu ili kupata huduma hii ni muhimu kuwa na account ya G-mail, Na hata ikiwa umepoteza simu ikiwa kama umehifadhi taarifa
Like
Love
3
·25 Views