Upgrade to Pro

HUDUMA YA CALL FORWARDING

• Piga *21*0684898194#
Mtu Akikupigia Ataambiwa “Namba Unayopiga Haipo”

• Piga *21*0683961067#
Mtu Akikupigia Ataambiwa “Namba Unayoipigia Imesitishiwa Huduma”

• Piga *21*06787777#
Mtu Akikupigia Ataambiwa “Tafadhali Hakikisha Namba ya Mteja Unayopiga na Upige tena”

• Piga *21*0694100100#
Mtu Akikupigia Simu yake Itaanza Kuzungumza kama Amewapigia Huduma kwa Wateja Airtel.

• Piga *21*0754100100#
Mtu Akikupigia Simu yake Itaanza Kuzungumza kama Amepiga Huduma kwa Wateja Vodacom

• Piga *21*0662100100#
Mtu Akikupigia Simu yake Itajikata Automatically Bila Kupewa Jibu lolote lile.

• Piga *21*Weka Namba Unayotaka Simu zielekee#
Set hivi kama Utakuwa Mbali na Line Moja unataka Simu zikiingia Zikufikie kwenye Line nyingine au unataka Kujua Simu za Mwingine au Unataka Kupokea Simu za Mtu Mwingine

-------------------------------

• Kujitoa au Kujiondoa na Huduma zote Juu au Yoyote Mojawapo Piga
##21#

-------------------------------

HUDUMA YA CALL FORWARDING • Piga *21*0684898194# ๐Ÿ‘‡ Mtu Akikupigia Ataambiwa “Namba Unayopiga Haipo” • Piga *21*0683961067# ๐Ÿ‘‡ Mtu Akikupigia Ataambiwa “Namba Unayoipigia Imesitishiwa Huduma” • Piga *21*06787777# ๐Ÿ‘‡ Mtu Akikupigia Ataambiwa “Tafadhali Hakikisha Namba ya Mteja Unayopiga na Upige tena” • Piga *21*0694100100# ๐Ÿ‘‡ Mtu Akikupigia Simu yake Itaanza Kuzungumza kama Amewapigia Huduma kwa Wateja Airtel. • Piga *21*0754100100# ๐Ÿ‘‡ Mtu Akikupigia Simu yake Itaanza Kuzungumza kama Amepiga Huduma kwa Wateja Vodacom • Piga *21*0662100100# ๐Ÿ‘‡ Mtu Akikupigia Simu yake Itajikata Automatically Bila Kupewa Jibu lolote lile. • Piga *21*Weka Namba Unayotaka Simu zielekee# ๐Ÿ‘‡ Set hivi kama Utakuwa Mbali na Line Moja unataka Simu zikiingia Zikufikie kwenye Line nyingine au unataka Kujua Simu za Mwingine au Unataka Kupokea Simu za Mtu Mwingine ------------------------------- • Kujitoa au Kujiondoa na Huduma zote Juu au Yoyote Mojawapo Piga ๐Ÿ‘‡ ##21# ------------------------------- ๐Ÿ’ง๐Ÿ’ง
Like
Love
3
2 Comments ยท181 Views