Upgrade to Pro

Yafuatayo Yanapaswa Kuzingitiwa kabla Ya Kufungua Channel ya YouTube ...............

USIWAZE HELA KWANZA

1: Uwe na Idea ( Topic ) ya Kitu Cha kufanya / Content Gani Unataka ufanye na Katika Hilo uwe Interested ( Uwe unakipenda unachotaka kufanya )

Baada ya kujua Topic / Idea fanya kifuatacho

A: Tafuta Watu wanaofanya Hiyo idea Yako kama wapo angalia video zao zipoje Katika Mitandao yote ( YouTube,,, Facebook,, Instagram na TikTok and X( Twita )

Then Unapoangalia Video hizo hakikisha unazingatia yafuatayo

1A: Jinsi wanavyo andaa content/ Maudhui Yao wanafanyeje mpaka zinapata watazamaji wengi

1B: Tittle/ Vichwa vyao vya Habari vinaandikwaje angalia maneno ambayo mara nyingi wanatumia Hasa kwenye video Zenye watazamaji wengi Kuanzia 5k-100k nakuendelea Kisha Note Pembeni

1C: Angalia namna wanavyo edit / Hariri video zao wanatumia picha / Video na wanatumia video Kwa kuzipata wapi ila muhimu Kuzingatia Haki miliki unashauriwa kutumia picha kabla hujajua video wanatoa wapi usije pewa Copyright strike au claim

1D: Angalia Mda ambao wanaaplod video zao na urefu wa video zao upoje Ili na wewe ucheze ndani ya ule mda mpaka watazamaji wako watakapo Kupata mda sahihi ndani ya YouTube studio as day goes utaona..

1E: Katika hayo yote angalia Mtiririko na mpangilio wa Sauti Zao upoje Kisha tengeneza Sauti Yako Wala usiwaige ila kujifunza Muhimu

1F: Baada ya hapo jifunze kuediti video Kwa kutumia Simu au computer hili pia linategemeana na kifaa ambacho unacho kama unatumia Simu bas application za kueditia zipo nyingi

NB: Zipo ambazo Zina logo na nyingine hazina Logo

Mfano wa Application Ambazo zinapatikana Kwa urahisi

1: KineMaster
2: Inshort
3: Yo Cut
3: Free Mora kama sijakosea kuandika Watasahihisha

Baada ya hayo Jifunze yafuatayo

1: Kuandika Script/ Kuandika Nini Unataka Kuzungumza kwenye video zako hata kama unafanya Movie za kushuti lazima ziwe na Script

2: Usitumie Background yeyote kama hujaitengeneza mwenyewe ila Ushauri Mzuri kabla ya monitization Tumia sauti Yako Tu na baada ya monitization unaweza tengeneza Music Yako ukaitumia chini ya Sauti

3: Tumia Picha/ Video nzuri If possible unapoandaa video zako Ili kuwavutia watazamaji wako

4: Usitumia lugha ya matusi au Lugha isiyo Rafiki Kwa watazamaji hutaonja pesa NG'O

5: Penda kutumia Tittle ambayo inafanana au kuwiana na kile ulicho andaa ndani ya video ( uongo ni mzuri Kupata Temporary views ila Ukweli utakufanya udumu na watu wakupende zaidi)
Uongo unaweza futiwa channel endapo wakaripoti channel Yako

Then Fanya pia yafuatayo

Hakikisha una email ambayo itakuruhusu Kufungu channel ,,, weka password strong fanya verification Kwa kufuata maelekezo Yao.

Hamia kipengele Cha Kujua Channel Yako utaipa jina Gani na kwanini uipe jina Hilo? Usiweke jina gumu linaloshindwa kutafutwa na watu mfano ( Ngedere Media / Ngedere Movie/ Ngedere/ Ngedere Mitini ni Simple sana mtu kusearch channel Yako Sasa unakuta mtu

kaandika ( Hy information today Upload ) jina refu kama njaa ya Asubuhi

3: Tengeneza Animation intro ya sec kuanzia 5-10 Hivi itakayo kusaidia kubust masaa

4: Tengeneza Logo Safi

5: Bana ya YouTube nayo iwe Bomba

6: Subscription Button yenye logo Yako nayo iwepo

NB: Kwa MAHITAJI ya Animation intro, logo, Bana , subscription button nipo hapa gharama yake ni 15K Kwa Kila Kimoja na ofa flan ya kipekee utapata

7: Usipende kufuta video baada ya Kuwekewa matangazo na Kuanza kulipwa futa video ambayo unahisi haiko poa before monitization la sivyo utaja Kujuta... ( USHAURI WANGU USIFUTE VIDEO HATA 1 Hivyo hakikisha unapoandaa video zako zisiwe na kiashiria Cha baadae inakuja kufutwa noooo

8: Ukiaplod video zako YouTube usiangalie Either Kwa Simu Yako au Email Nyingine iliyopo kwenye Simu Yako ukifanya hivyo hutadumu Daima YouTube watakupa invalid click na kukufitia channel panapo bidi
9: Zingatia Device kifaa ambacho unaweza Tumia kuhifadhi au Kufungua account Yako ya YouTube kiwe salama kisiwe na Tatizo la kufutiwa channel Kwa copyright strike 3 za nguvu Tena ikiwezekana nunua Simu mpya kama Ulivyo nayo unamashaka nayo

10: Share video zako kwenye Mitandao ya kijamii Kwa kuwapa link kabla hujaingia Monitization then Baada ya hapo unaweza share video only sio link Tena

11: Kila video mpya unayopakia YouTube hakikisha inaubunifu mpya tofauti na wajana

12: Usikate Tamaa Kwa Kuanza Kupata views Wachache mwanzo labda wawili au 10 safari ya YouTube huanza chini Kisha kwenda juu japo wapo wanaoanza na views 100k then wanaishia 11 views pee day




📌 Yafuatayo Yanapaswa Kuzingitiwa kabla Ya Kufungua Channel ya YouTube ............... USIWAZE HELA KWANZA 😁😁 1: Uwe na Idea ( Topic ) ya Kitu Cha kufanya / Content Gani Unataka ufanye na Katika Hilo uwe Interested ( Uwe unakipenda unachotaka kufanya ) Baada ya kujua Topic / Idea fanya kifuatacho A: Tafuta Watu wanaofanya Hiyo idea Yako kama wapo angalia video zao zipoje Katika Mitandao yote ( YouTube,,, Facebook,, Instagram na TikTok and X( Twita ) Then Unapoangalia Video hizo hakikisha unazingatia yafuatayo 1A: Jinsi wanavyo andaa content/ Maudhui Yao wanafanyeje mpaka zinapata watazamaji wengi 1B: Tittle/ Vichwa vyao vya Habari vinaandikwaje angalia maneno ambayo mara nyingi wanatumia Hasa kwenye video Zenye watazamaji wengi Kuanzia 5k-100k nakuendelea Kisha Note Pembeni 1C: Angalia namna wanavyo edit / Hariri video zao wanatumia picha / Video na wanatumia video Kwa kuzipata wapi ila muhimu Kuzingatia Haki miliki unashauriwa kutumia picha kabla hujajua video wanatoa wapi usije pewa Copyright strike au claim 1D: Angalia Mda ambao wanaaplod video zao na urefu wa video zao upoje Ili na wewe ucheze ndani ya ule mda mpaka watazamaji wako watakapo Kupata mda sahihi ndani ya YouTube studio as day goes utaona.. 1E: Katika hayo yote angalia Mtiririko na mpangilio wa Sauti Zao upoje Kisha tengeneza Sauti Yako Wala usiwaige ila kujifunza Muhimu 1F: Baada ya hapo jifunze kuediti video Kwa kutumia Simu au computer hili pia linategemeana na kifaa ambacho unacho kama unatumia Simu bas application za kueditia zipo nyingi NB: Zipo ambazo Zina logo na nyingine hazina Logo Mfano wa Application Ambazo zinapatikana Kwa urahisi 1: KineMaster 2: Inshort 3: Yo Cut 3: Free Mora kama sijakosea kuandika Watasahihisha 😁😁😁 Baada ya hayo Jifunze yafuatayo 1: Kuandika Script/ Kuandika Nini Unataka Kuzungumza kwenye video zako hata kama unafanya Movie za kushuti lazima ziwe na Script 2: Usitumie Background yeyote kama hujaitengeneza mwenyewe ila Ushauri Mzuri kabla ya monitization Tumia sauti Yako Tu na baada ya monitization unaweza tengeneza Music Yako ukaitumia chini ya Sauti 3: Tumia Picha/ Video nzuri If possible unapoandaa video zako Ili kuwavutia watazamaji wako 4: Usitumia lugha ya matusi au Lugha isiyo Rafiki Kwa watazamaji hutaonja pesa NG'O 😳😳 5: Penda kutumia Tittle ambayo inafanana au kuwiana na kile ulicho andaa ndani ya video ( uongo ni mzuri Kupata Temporary views ila Ukweli utakufanya udumu na watu wakupende zaidi) Uongo unaweza futiwa channel endapo wakaripoti channel Yako Then Fanya pia yafuatayo Hakikisha una email ambayo itakuruhusu Kufungu channel ,,, weka password strong fanya verification Kwa kufuata maelekezo Yao. Hamia kipengele Cha Kujua Channel Yako utaipa jina Gani na kwanini uipe jina Hilo? Usiweke jina gumu linaloshindwa kutafutwa na watu mfano ( Ngedere Media / Ngedere Movie/ Ngedere/ Ngedere Mitini ni Simple sana mtu kusearch channel Yako Sasa unakuta mtu kaandika ( Hy information today Upload ) jina refu kama njaa ya Asubuhi 3: Tengeneza Animation intro ya sec kuanzia 5-10 Hivi itakayo kusaidia kubust masaa 4: Tengeneza Logo Safi 5: Bana ya YouTube nayo iwe Bomba 6: Subscription Button yenye logo Yako nayo iwepo NB: Kwa MAHITAJI ya Animation intro, logo, Bana , subscription button nipo hapa gharama yake ni 15K Kwa Kila Kimoja na ofa flan ya kipekee utapata 7: Usipende kufuta video baada ya Kuwekewa matangazo na Kuanza kulipwa futa video ambayo unahisi haiko poa before monitization la sivyo utaja Kujuta... ( USHAURI WANGU USIFUTE VIDEO HATA 1 Hivyo hakikisha unapoandaa video zako zisiwe na kiashiria Cha baadae inakuja kufutwa noooo 8: Ukiaplod video zako YouTube usiangalie Either Kwa Simu Yako au Email Nyingine iliyopo kwenye Simu Yako ukifanya hivyo hutadumu Daima YouTube watakupa invalid click na kukufitia channel panapo bidi 9: Zingatia Device kifaa ambacho unaweza Tumia kuhifadhi au Kufungua account Yako ya YouTube kiwe salama kisiwe na Tatizo la kufutiwa channel Kwa copyright strike 3 za nguvu Tena ikiwezekana nunua Simu mpya kama Ulivyo nayo unamashaka nayo 10: Share video zako kwenye Mitandao ya kijamii Kwa kuwapa link kabla hujaingia Monitization then Baada ya hapo unaweza share video only sio link Tena 11: Kila video mpya unayopakia YouTube hakikisha inaubunifu mpya tofauti na wajana 12: Usikate Tamaa Kwa Kuanza Kupata views Wachache mwanzo labda wawili au 10 safari ya YouTube huanza chini Kisha kwenda juu japo wapo wanaoanza na views 100k then wanaishia 11 views pee day 🙏🙏🙏🙏🙏
Like
Love
3
·642 Views