Ujenzi wa Uwanja mpya wa mpira wa miguu jijini Arusha wazidi kushika kasi.
Uwanja huu umepewa jina la Raisi wa kwanza mwanamke Tanzania Mh Dr Samia Suluhu Hassan Stadium.
uwanja huu ni moja kati ya viwanja vitakavyo tumika kwenye mashindano ya AFCON 2027.
Tanzania itashirikiana na majira zake Kenya na Uganda kwenye mandalizi ya mashindano haya makubwa barani Africa.

1 التعليقات
·278 مشاهدة