Upgrade to Pro

.Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Algeria (FAF) ambaye pia Waziri wa michezo wa Algeria Mh. Walid Sadi akimpokea Mgeni wake Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA) Eng.Hersi Ally Said pamoja na Wajumbe wa bodi ya vilabu barani Afrika (ACA) walipotembelea Taifa la Algeria na kukagua miundombinu ya soka.

Algeria imeialika ACA kuweka Makao yake makuu nchini humo, ikiwa katika kinyanganyiro na mataifa mengine mawili, Morocco na Afrika ya kusini.

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
.Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Algeria (FAF) ambaye pia Waziri wa michezo wa Algeria Mh. Walid Sadi akimpokea Mgeni wake Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA) Eng.Hersi Ally Said pamoja na Wajumbe wa bodi ya vilabu barani Afrika (ACA) walipotembelea Taifa la Algeria na kukagua miundombinu ya soka. Algeria imeialika ACA kuweka Makao yake makuu nchini humo, ikiwa katika kinyanganyiro na mataifa mengine mawili, Morocco na Afrika ya kusini. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Like
Love
7
1 Comments ·332 Views