Upgrade to Pro

Mahakama ya Katiba nchini Zambia imetoa maamuzi kuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Edgar Lungu hawezi kuwania tena kiti cha Urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2026 kwa kuwa tayari amehudumu mihula miwili.

Mahakama hiyo imeamua kuwa muda ambao Lungu alihudumu kama Rais wa taifa hilo kati ya 2015 na 2016 kufuatia kifo cha Michael Sata akiwa madarakani, kinahesabiwa kama muhula kamili.


Mahakama ya Katiba nchini Zambia imetoa maamuzi kuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Edgar Lungu hawezi kuwania tena kiti cha Urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2026 kwa kuwa tayari amehudumu mihula miwili. Mahakama hiyo imeamua kuwa muda ambao Lungu alihudumu kama Rais wa taifa hilo kati ya 2015 na 2016 kufuatia kifo cha Michael Sata akiwa madarakani, kinahesabiwa kama muhula kamili. 😂🤔
·121 Views