ππππ§π¦ ππ ππ¨π¦πππ‘ππππ
β Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi na Cristiano Ronaldo
β Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.
β Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 ) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.
β Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.
• Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich
• Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).
β 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).
β Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.
β Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!
β Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.
β Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).
β Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.
β Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).
β Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake
β Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)
β Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).
• 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.
β Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) !
β Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.
β Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.
β Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City
FACTS gani imekushangaza ?

π¨ππππ§π¦ ππ ππ¨π¦πππ‘ππππ
β Mtoto wa Cristiano Ronaldo, Ronaldo Junior na mtoto wa Lionel Messi, Thiago Andreas Messi wanapishana siku (869) za kuzaliwa, sawa na umri wanaopishana baba zao Lionel Messi π¦π· na Cristiano Ronaldo π΅πΉ
β Kocha Jose Mourinho hakuwahi kupoteza mechi nyumbani kwa muda wa miaka (9) sawa na Michezo (150) akiwa kocha wa FC Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid kuanzia 16 March 2002 hadi 2 April 2011.
β Beki wa kati, John Terry amefunga magoli mengi (EPL) akiwa Chelsea (68 β½) kumzidi fundi Andres Iniesta aliyefunga mabao (35) tu La Liga akiwa FC Barcelona.
β Mark Hughes na Cole Palmer ndio wachezaji (2) pekee ambao walicheza mechi (2) tofauti (rasmi) ndani ya siku moja.
• Asubuhi Mark Hughes aliitumikia timu ya Taifa ya Wales π΄σ §σ ’σ ·σ ¬σ ³σ Ώ na Alasiri ya siku hiyo hiyo akaitumikia klabu ya Bayern Munich π©πͺ
• Cole Palmer aliitumikia klabu ya Manchester city (Senior team) Alasiri na Jioni na akafunga Hattrick akiwa team (B U23).
β 2016 Cristiano Ronaldo alitwaa makombe (4) kuzidi idadi ya mechi alizopoteza (3).
β Lionel Messi ndiye mchezaji pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon d'or katika Decades | Miongo (3) tofauti kwenye historia.
β Left Fullback,, Layvin Kurzawa ana hat-trick nyingi UEFA champions league kuwazidi Xavi, Zidane, Kroos na Suarez kwa pamoja !!
β Raphinha ana hatricks nyingi La liga kumzidi Ronaldinho Gaucho !.
β Neymar alikuwa mchezaji wa kwanza wa FC Barcelona kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi La liga (November 2015).
β Klabu ya Nottingham Forest imetwaa makombe mengi ya European Cup mara nyingi zaidi kuliko klabu za Manchester City, Arsenal, Atletico Madrid na Tottenham kwa pamoja Kabla ya Kombe Hilo kuitwa UEFA champions league.
β Klabu ya Chelsea ilishashuka daraja mara (6), mara nyingi kuliko idadi ya makombe ya (EPL) waliyotwaa mpaka sasa (5).
β Harry Maguire ndiye mchezaji pekee England aliyewahi kushuka daraja mara mbili katika msimu mmoja na amewahi kushuka daraja mara (5) kwenye career yake π
β Kingsley Coman ndiye mchezaji pekee Ulaya kwa sasa mwenye makombe mengi zaidi (29) kuliko umri wake (28 yrs)
β Real Madrid ndiyo timu pekee Ulaya iliyocheza mechi rasmi ya ushindani kwenye fainali dhidi ya timu yake (B).
• 1980 Real Madrid walitwaa kombe la Copa Del Rey kwa kuifunga Real Madrid (B) mabao (6-1), Mechi hiyo ilichezwa Bernabeu.
β Jamie Carragher amejifunga magoli mengi (7) kuliko idadi ya magoli aliyoifungia klabu ya Liverpool (3) ! π
β Juventus waliuza jezi (0) za Lord Nicklas Bendtner katika msimu mzima.
β Zidane ndiye mchezaji pekee aliyeoneshwa kadi nyekundu (Straight red card) kisha akatwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano (World cup 2006) siku hiyohiyo aliyooneshwa red card.
♠ Fundi Wa Mpira Kevin De Bruyne Ajawahi kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwenzi wowote Toka aanze kuitumikia Manchester City
FACTS gani imekushangaza ? π
Β·325 Views