.JEMEDARI SAID: MWENDA NI BONGE LA MCHEZAJI,YANGA WAMERAMBA DUME.
.
"Kumuona Israh kutoka Singida Black Stars kwenda Yanga sio kitu cha ajabu sana maana tumewaona wengi mfano Feisal kutoka Yanga kwenda Azam ni vitu vya kawaida, Yanga wamepata mchezaji mzuri sana sina shaka nae"
"Nina imani kocha amehusika kwa asilimia 100% maana wapo viongozi walisemaga kuwa sio rahisi kocha kusajili mwenyewe lazima ashirikishe viongozi ila inawezekana alimuhitaji mchezaji akaonyeshwa video zake nae akaridhika naye"
"Ni ushamba tu wa mashabiki kuwasema wachezaji wakitanzania, watu walitaka kuona Simba au Yanga wanasajili wachezaji kutoka nje tu...huu ni ushamba na niwapongeze Yanga kufanya usajili wa Mwenda hata Kelvin Nashon"
"Yanga wamefanya kitu cha maana isipokuwa wanahitaji kuvumilia hadi watakapokuwa vizuri kwenye kikosi chao"
.
“ Israel Mwenda ni mchezaji mzuri. Namjua tangu 2016. Dogo ana kipaji kizuri maana amefanya vyema akiwa na timu za Simba SC, KMC hadi timu ya Taifa. Kilichomuondoa Simba SC ni nafasi ya kucheza. Nifichue siri leo, hakuwa na mahusiano mazuri na Shomary Kapombe. Hawa wote ni wanangu. Muda mwingine unaona bora uondoke tu kutafuta changamoto nyingine"
.
"Kutoka Singida Black Stars kwenda Yanga SC ni kitu cha kawaida kabisa. Lakini Yanga SC wamepata mchezaji mwenye uwezo, lakini arekebishwe mentality yake. Huyu ni mchezaji ambaye unaweza kumtumia katika mifumo mingi. Naamini kocha wa Yanga SC amehusika moja kwa moja na usajili huu “
.
JEMEDARI SAID,Mchambuzi CROWN FM.

·279 Views