Mabosi wa KMC wapo katika mazungumzo ya kupata saini ya nyota wa Simba, Salehe Masoud Karabaka kwa mkopo wa miezi sita baada ya kutokuwa na uhakika wa kucheza kikosi cha kwanza cha timu hiyo chini ya kocha mkuu raia wa Afrika Kusini, Fadlu Davids.
.
Chanzo changu kutoka Simba kimesema, Karabaka ni miongoni wa wachezaji watakaotolewa kwa mkopo dirisha hili dogo la usajili litakalofunguliwa Disemba 15, ili akapate nafasi zaidi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza.
#paulswai

·156 Views