Upgrade to Pro

Baada ya Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) kutangaza Nchi za Uhispania, Ureno na Morocco kuwa ndizo zitaandaa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2030 huku lile la mwaka 2034 likipangwa kufanyika Nchini Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo, Mitrovic na Ng'olo Kante wamezungumza yafuatayo:

"Kombe la dunia mwaka 2034 nchini Saudia Arabia litakuwa bora zaidi kuwahi kutokea. " - Cristiano Ronaldo

"Naamini kombe la dunia mwaka 2034 nchini Saudia Arabia litakuwa bora sana dunia kuwahi kushuhudia. " - Mitrovic

"Naamini tutawaletea Kombe la Dunia la kipekee na na bora ambalo dunia inalisubiri kutoka ufalme wa Saudia Arabia. " - Ng'olo Kante.

Baada ya Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) kutangaza Nchi za Uhispania, Ureno na Morocco kuwa ndizo zitaandaa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2030 huku lile la mwaka 2034 likipangwa kufanyika Nchini Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo, Mitrovic na Ng'olo Kante wamezungumza yafuatayo: "Kombe la dunia mwaka 2034 nchini Saudia Arabia litakuwa bora zaidi kuwahi kutokea. " - Cristiano Ronaldo "Naamini kombe la dunia mwaka 2034 nchini Saudia Arabia litakuwa bora sana dunia kuwahi kushuhudia. " - Mitrovic "Naamini tutawaletea Kombe la Dunia la kipekee na na bora ambalo dunia inalisubiri kutoka ufalme wa Saudia Arabia. " - Ng'olo Kante.
Like
1
·100 Views