Upgrade to Pro

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema Kombe la Dunia kwa mwaka 2030 litaandaliiwa na Mataifa matatu ambayo ni Ureno, Hispania na Morocco ambayo yaliwasilisha ombi la kuandaa michuano hiyo kwa pamoja.

Pamoja na kwamba Mataifa hayo matatu yamechaguliwa kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030, imeelezwa kuwa mechi tatu za kombe hilo zitafanyika katika Nchi tatu za Amerika Kusini ambazo ni Argentina, Paraguay na Uruguay ikiwa ni katika mpango wa kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo. #socialpop David Atto
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema Kombe la Dunia kwa mwaka 2030 litaandaliiwa na Mataifa matatu ambayo ni Ureno, Hispania na Morocco ambayo yaliwasilisha ombi la kuandaa michuano hiyo kwa pamoja. Pamoja na kwamba Mataifa hayo matatu yamechaguliwa kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030, imeelezwa kuwa mechi tatu za kombe hilo zitafanyika katika Nchi tatu za Amerika Kusini ambazo ni Argentina, Paraguay na Uruguay ikiwa ni katika mpango wa kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo. #socialpop [Mefa]
Like
Love
3
·190 Ansichten