Upgrade to Pro

“Tunamshukuru Mungu tumefika Salama, tupo hapa Lubumbashi kwaajili ya kupambana, ni kweli hatujashinda mechi zetu za Mwanzo lakini haimaanishi tukae vichwa chini, huu ni muda wa kurudi juu na kuwapa furaha wananchi, tunatambua Ukubwa wa Mazembe lakini tutapambana kwaajili ya kushinda kesho” @maxinzengeli

#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

“Tunamshukuru Mungu tumefika Salama, tupo hapa Lubumbashi kwaajili ya kupambana, ni kweli hatujashinda mechi zetu za Mwanzo lakini haimaanishi tukae vichwa chini, huu ni muda wa kurudi juu na kuwapa furaha wananchi, tunatambua Ukubwa wa Mazembe lakini tutapambana kwaajili ya kushinda kesho” @maxinzengeli #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Like
2
·139 Views