饾悘饾悜饾悇饾悞饾悞

"Malengo yetu ni kuonyesha uwezo wetu na kufanya vizuri kesho, Haijalishi wapinzani wetu wakoje, sisi tunafahamu TP Mazembe ni timu kubwa na ina Wachezaji wazuri hivyo kesho tutashuhudia mechi nzuri sana, nafahamu kuwa mchezo wa mwisho hapa Congo Young Africans ilishinda lakini hatuwezi kuzungumzia yaliyopita, tunautazama mchezo wa kesho kama mchezo mpya na tupo tayari kwa Changamoto hii" Ramovic

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
饾悘饾悜饾悇饾悞饾悞馃挰 "Malengo yetu ni kuonyesha uwezo wetu na kufanya vizuri kesho, Haijalishi wapinzani wetu wakoje, sisi tunafahamu TP Mazembe ni timu kubwa na ina Wachezaji wazuri hivyo kesho tutashuhudia mechi nzuri sana, nafahamu kuwa mchezo wa mwisho hapa Congo Young Africans ilishinda lakini hatuwezi kuzungumzia yaliyopita, tunautazama mchezo wa kesho kama mchezo mpya na tupo tayari kwa Changamoto hii" Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Like
1
2 Commentarios 0 Acciones 498 Views