Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto, Diego León (umri miaka 17) raia wa Paraguay kutoka Cerro Porteno ya Nchini kwao kwa dau la Dola Milioni 3.5 na atatua rasmi kwa Mashetani hao Wekundu Julai 2025.
Huu ni mwendelezo wa Manchester United kukusanya vijana damu changa kwa ajili ya mafanikio ya siku za usoni baada ya kuzinasa saini za kiungo mkabaji fundi Sekou Kone kutoka Mali na Chido Obi Martin raia wa Denmark kutoka Arsenal.

·108 Visualizações