Privaldinho amjia juu Hans Raphael, Mchambuzi wa Crown FM.
"Yanga ya Ramovic? Ni ipi?? Unatumia maneno ya kishabiki ili kuibua hoja na hisia negative kwa mwalimu? Wewe ni mchambuzi au unatumika ? Haya maneno ya Yanga ya Sjui nani ni tambo za mashabiki. Sio weledi kwa mwandishi kutumia hizi tena akiwa analenga kudhihaki au kupotosha.
Ultaka Yanga ichezeje away? Kupiga pasi nyingi ndio kucheza vizuri? Kwamba ukimiliki mpira away ndio kucheza vizuri? Nakukumbusha jambo, mwaka jana wakati tunafungwa 3-0 na Belouzidad tulipiga pasi nyingi 400 na tukapoteza.
Leo tumeboss mchezo kwa kiwango kikubwa sana, tumeongoza kwa umiliki wa mchezo 57% tukiwa na accurate pasi ya 287 while Mazembe wamepiga 188.
Tumeongoza kwa shot on target ambacho kilikuwa kichaka chenu uchambuzi, leo tumepiga shot on taraget 5, Mazembe wamepiga just one 1. Unasemaje defensive tulikuwa wabovu?
Tumepiga tackles 14 (70%) more than Mazembe, tumeongoza kwa duels kwa upande wa griound na aerial.
Hatuna intensity nzuri, kwenye opposition half tumepiga pasi 130 na final third tumepiga 64, maana yake tulifika eneo husika kwa usahihi. Tumegusa mpira mara 14 kwenye lango la mpinzani. Zaidi kuliko mwenyeji.
Lengo lenu mnataka kufubaza kila improvement inayofanywa na Yanga its aidha kwa makusudi au kwa sababu zenu ambazo hazina kichwa wala miguu.
Mechi ya leo Sead amekuwa na takwimu bora kuliko mechi zetu tatu za mwisho za ligi ya mabingwa msimu uliopita
Mechi ya Belouzidad tulipigwa mitatu, mechi iliyofuata away na Medeama tukadroo huku performance ikiwa ya kawaida pasi 277, hiyo ya Mamelodi sitaki hata kuiongelea.
Tunaona upotoshaji, mwisho wa siku mnapoteza weledi kwa sababu ambazo hazieleweki. Unless kuna namna mnafaidika" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.

·88 Views