Upgrade to Pro

Mshambuliaji Prince Dube ,amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii.
.
Dube ambaye hajawa na msimu bora tangu ajiunge na Yanga amejiondoa mjini Instagram na bila shaka ameamua kujiweka kando ili kuepuka presha ya mashabiki ya mitandaoni.
.
Je uamuzi huu utamsaidia Dube ?
Mshambuliaji Prince Dube ,amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii. . Dube ambaye hajawa na msimu bora tangu ajiunge na Yanga amejiondoa mjini Instagram na bila shaka ameamua kujiweka kando ili kuepuka presha ya mashabiki ya mitandaoni. . Je uamuzi huu utamsaidia Dube ?
Like
2
·83 Ansichten